Mama ni mama tuu


Yes wanarevenge kwasababu wana hakika hao Taliban walienda kujificha hospital. Kwahiyo Kabla hujalaumu jaribu kuwashauri wawe wanajificha sehemu zingine ili wasiwaponze watu wasio na hatia,
 
Makafiri wafe tu maana wakifa dini yao inasema wanakwenda mojakwamoja peponi. Kwahiyo hawa Makafiri wawe watoto Au wazee Au vijana wafe tuuuu maana kufa ni kwenda peponi. Hujawaona mahujaji wamekwenda kumpiga mawe shetani alafu shetani kawapiga bao ya watu zaidi ya elfu nne! !!!! Lakini pia huwa najiuliza mji mtakatifu unakuwa na makao ya shetani tena?
 
Yes wanarevenge kwasababu wana hakika hao Taliban walienda kujificha hospital. Kwahiyo Kabla hujalaumu jaribu kuwashauri wawe wanajificha sehemu zingine ili wasiwaponze watu wasio na hatia,
Jimena hii post ishaingiliwa na kidudumtu
 
Last edited by a moderator:
Hata mi naona inaelekea kupoteza maudhui yake

Halafu kuna watu hata uwaweke kwenye ignore list, uwaonye wazi wazi wasikufuate fate hayasikii sijui wanawashwa na nini?
 
Halafu kuna watu hata uwaweke kwenye ignore list, uwaonye wazi wazi wasikufuate fate hayasikii sijui wanawashwa na nini?

Hao dawa yao ndogo tu, ngoja Lowassa aingie madarakani watanyooka wenyewe! Ila wakizidi kusumbua ntamuita Gwajima ye ndo kiboko yao.
 

Mkuu punguza ukali wa maneno! Watu hawachelewi kuanzisha maandamano
 
Ha ha ha nimecheka sana kwa hii comment ( kichwani weupe)

Always mtu anayeshindwa kuhimili hoja na kuleta vijembe kashfa na matusi huyo ni kweupe upstairs always mtu anayeshindwa kujenga hoja binafsi na kukimbilia kupakua madude mitandaoni huyo ni mweupe ndani ya medula yake.. Hii tunaita crippled mind...ni watu wenye inferiority complex mbaya sana, hawajiwezi hawajiamini defensive mechanism yao kubwa ni udini na mipasho
 

Ila uzuri ni kwamba tunawajua na hawatupi shida
 
FaizaFoxy hebu jaribu ubase kwenye maada husika. Hayo ya kuleta udini hayana maana mkuu, dini tumeletewa tu na watu flan kama walivyoleta siasa.

Hivi hujiulizi kwann mambo yaliyoletwa na watu weupe yanatufanya tugombane sisi watu weusi?

Mungu alituumba binadamu na alituasa kumwabudu na kufanya yampendezayo. Lakn hakuumba dini
 
Last edited by a moderator:

Machozi ya mamba, anakula huku analia.

Hizo picha za unafik tu.

Wnawaua hao watoto, wazee, viijana, kwa mambomu ya kila namna na mkwa sababu za kijinga kabisa. Eti wanatafuta silaha za maangamizi. Amazo mpaka leo hawajaziona na Iraq haikaliki, watoto zaidi ya million 1 waliouliwa na USA na vibaraka wao. Mbona hatujawasikia mkiesema wala kuwahurumia hata siku moja?

Leo mnaleta vipicha vyenu eti nani kama mama.

Unasema tusilete "udini"? Unafikiri hao wanaoulia Iraq na sasa Syria wengi wao ni wa dini ipi? Ulishalisema hilo hata siku moja? Bashir kakosa nini? Saddam alikosa nini? Gaddafi kakosa nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…