Ngina ni jina la mtu, asili yake nafikiri ni Kenya, huyo mke wa kenyatta yeye anaitwa Ngina Kenyatta, Hili lipo siku nyingi hasa maeneo ya mipakani na Kenya, Ila wengi wetu wameanza kulitumia kumaanisha mke