mimi sijakushambulia shem, mbona kawaida tu hiyo.....
Hivi huu ni uzee au uzembe, nimetumiwa email jioni hii na mama Ngina. Naomba nikiri kwamba nilighafilika na sijui nijitetee vipi mpaka anielewe......
Sent: Thursday, February 28, 2013 3:52 PM
To: xxxxxxxxxxx
Subject: Re: BIRTHDAY
hallo, leo umekumbuka hata birthday ya mtoto
Ndio anatimiza miaka 11 leo mkuu, yaani ndio nakaa ofisini na kukutana na hii email sasa hivi, yaani kutwa leo nilikuwa kiguu na njia nikimtumikia mkoloni wangu.....Mtoto ana umri gani.
Maana ni rahisi kusahau kama mtoto ana miaka 30.
Sasa tatizo nitachelewa kutoka kazini kwa sababu kuna hafla na ninatakiwa nihudhurie na mimi ndio kinara, nashindwa kuomba udhuru last minute......Hapo umechemka mzee,had unasahau b'day ya mwanao.?
Sasa jifanye ulikumbuka ila ulitaka uwafanyie suprise so leo watoe out mkamalizie b'day ya mtoto sehemu tulivu pamoja na familia yako.
Chonka wazea mulangila.
usimtetee.....Mtoto ana umri gani.
Maana ni rahisi kusahau kama mtoto ana miaka 30.
afadhali wewe umesahau kuwa ya mtoto....zali lake linaisha mapema tu. Rudi na zawadi nzuri ya birthday na useme kabisa kuwa ulikumbuka ila ulitaka kum-surprise.
mwenzio kuna mwaka nilisahau ya mzee.....kilichoniuma zaidi mpaka jana yake nilikuwa nakumbuka na nilikuwa nimeshaandaa cha kumfanyia hiyo siku.
huwa nina kawaida ya kumu-wish saa 6 usiku (ili niwe wa kwanza, lol!) hiyo siku niliwahi kulala na sijui ilikuwaje alarm haikuniamsha hiyo saa 6.
Asubuhi siku ya kazi mtu kajiandaa kwenda job ananiaga naondoka sasa, usingizini najibu "Uwe na siku na kazi njema".
Akaondoka. mara mtoto anakuja chumbani ananiambia "mum today is dad's birthday".......
kutoka nje kwani yupo! kwa mara ya kwanza nilienda ofisini kwake
unaanzia wapi hiyo surprise?hahaha nimeipenda hiyo.usikute nawe ulibeba zawad na kudai ulienda kumsuprise akiwa ofisin.
Sasa tatizo nitachelewa kutoka kazini kwa sababu kuna hafla na ninatakiwa nihudhurie na mimi ndio kinara, nashindwa kuomba udhuru last minute......

Kumbe rafiki na wewe una mambo ya kizungu eh?afadhali wewe umesahau kuwa ya mtoto....zali lake linaisha mapema tu. Rudi na zawadi nzuri ya birthday na useme kabisa kuwa ulikumbuka ila ulitaka kum-surprise.
mwenzio kuna mwaka nilisahau ya mzee.....kilichoniuma zaidi mpaka jana yake nilikuwa nakumbuka na nilikuwa nimeshaandaa cha kumfanyia hiyo siku.
huwa nina kawaida ya kumu-wish saa 6 usiku (ili niwe wa kwanza, lol!) hiyo siku niliwahi kulala na sijui ilikuwaje alarm haikuniamsha hiyo saa 6.
Asubuhi siku ya kazi mtu kajiandaa kwenda job ananiaga naondoka sasa, usingizini najibu "Uwe na siku na kazi njema".
Akaondoka. mara mtoto anakuja chumbani ananiambia "mum today is dad's birthday".......
kutoka nje kwani yupo! kwa mara ya kwanza nilienda ofisini kwake
chezeya binti wa misheni wewe........Kumbe rafiki na wewe una mambo ya kizungu eh?