Mama Ndie Amesababisha Dreamliner Kuingiza Hasara ya Billionii 23.6

Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
6,676
11,110
Habari za mda huu wadau.
Kutokana na report ya CAG wakati ndege zingine zikitengeneza faida Dreamliner zetu zimeliingizia hasara ya Billion 23.6 shirika la ATCL.

Sote tunajua ni kwanini hizi ndege mbili zimiingiza hasara hivyo Kichele usitudanganye sema tu ukweli kuwa ni safari za Chief H zisizo na kichwa wala miguu.

Toka awamu ya 6 uingie madarakani site tumeona hizi ndege zikitumika ovyo.

Wana mapambio karibuni kupinga hili

Source: The Citizen
 
🐒🐒🐒
022040141919.jpg
 
hapa umeeleza ukweli mama kazitumia ndege zetu vibaya sana dodoma dar kila siku mbili ni hasara kubwa sana mara mpango ufaransa hasara juu ya hasara ukiona hasara kaifanya mama ama CAG anakwepa au akishindwa kukwepa anaigeuza hasara hii nakusema ilitokana na jpm
 
Biashara ya ndege kokote duniani haifanywi na serikali , hii ni fact alipewa Magu wakati ana embark kwenye hiyo bizz,
Serikali ilitakiwa tu kuboresha miundombinu kama kujenga airports za kisasa na facilities zake kisha iwaachie watu wa ptivate wachukue risks na kulipa kodi stahiki

Mama mtamuinea bure , structure ya biashara hii ya ndege , toka inaanza ilikuwa na dosari tele, na clearly profiting from it haikuwa priority kwa mwendazake , it was more like a prestigious based
 
Kwa hii Katiba tuliyo nayo ya mwaka 1977, hata tukimpa nchi Malaika/ Padre/ Mchungaji/ Askofu/ Nabii/ Mtume/ Sheikh/ Ustaadh/ Imam, au kiumbe yeyote yule!

Bado mwisho wa siku ataishia tu kukengeuka! Na hivyo kuiendesha nchi kwa matakwa na utashi wake. Maana Katiba inampa mamlaka makubwa, kiasi cha kujiona mungumtu.
 
Nashauri tuzipige mnada hizo ndege mbili Dreamliner ili tununue meli kubwa ya kubeba mafuta.... meli hii kubwa tuikabidhi kwa TPDC ili tuwe na uhakika wa kupata mafuta kwa uhakika na bei nafuu.
Serikali haiwezi biashara mkuu trust me, kila mtu anataka Kula kwa urefu wa kamba yake.
One of the core basic need ukitaka kufanya biashara yoyote ni discipline, usipokiwa na nidhamu na pesa hakuna biashara utaweza kufanya ,
 
Nashauri tuzipige mnada hizo ndege mbili Dreamliner ili tununue meli kubwa ya kubeba mafuta.... meli hii kubwa tuikabidhi kwa TPDC ili tuwe na uhakika wa kupata mafuta kwa uhakika na bei nafuu.
TPDC hii hii au nyingine?
 
Biashara ya ndege kokote duniani haifanywi na serikali , hii ni fact alipewa Magu wakati ana embark kwenye hiyo bizz,
Serikali ilitakiwa tu kuboresha miundombinu kama kujenga airports za kisasa na facilities zake kisha iwaachie watu wa ptivate wachukue risks na kulipa kodi stahiki

Mama mtamuinea bure , structure ya biashara hii ya ndege , toka inaanza ilikuwa na dosari tele, na clearly profiting from it haikuwa priority kwa mwendazake , it was more like a prestigious based
Soma vizuri uelewe ndio uchangie hoja, ndege zingine zote zimeingiza Faida isipokuwa Dreamliners tu
 
Habari za mda huu wadau.
Kutokana na report ya CAG wakati ndege zingine zikitengeneza faida Dreamliner zetu zimeliingizia hasara ya Billion 23.6 shirika la ATCL.

Sote tunajua ni kwanini hizi ndege mbili zimiingiza hasara hivyo Kichele usitudanganye sema tu ukweli kuwa ni safari za Chief H zisizo na kichwa wala miguu.

Toka awamu ya 6 uingie madarakani site tumeona hizi ndege zikitumika ovyo.

Wana mapambio karibuni kupinga hili

Source Air Tanzania's two Dreamliner aircraft record Sh23.6 billion loss
kwahiyo hapo umemaliza?
inawezekana ripoti yenyewe hujui ni ya mwaka gani
 
Habari za mda huu wadau.
Kutokana na report ya CAG wakati ndege zingine zikitengeneza faida Dreamliner zetu zimeliingizia hasara ya Billion 23.6 shirika la ATCL.

Sote tunajua ni kwanini hizi ndege mbili zimiingiza hasara hivyo Kichele usitudanganye sema tu ukweli kuwa ni safari za Chief H zisizo na kichwa wala miguu.

Toka awamu ya 6 uingie madarakani site tumeona hizi ndege zikitumika ovyo.

Wana mapambio karibuni kupinga hili

Source Air Tanzania's two Dreamliner aircraft record Sh23.6 billion loss
nakukosoa si awamu ya6 bali awamu ya5 rais wa6.
nakumbusha hata wakati wa marehemu zilileta hasara je alikuwa anasafiri?
 
Soma vizuri uelewe ndio uchangie hoja, ndege zingine zote zimeingiza Faida isipokuwa Dreamliners tu
Mkuu dreamliner pekee imeingiza hasara ya 23 billions ,haimaanishi kuwa bombardier zinaingiza faida
Report ya Cag mwaka jana , Atcl yote kwa ujumla ilikuwa na hasara kwa miaka mitatu mfululizo kama sikosei, hii maana yake hata kama assumption ni bombardier zina faida , basi faida hiyo itamezwa na dreamliner

Halafu utamu wa biashara ni faida , Atcl haikuwa na plan nzuri ni swala la muda tu
 
Dar- Dodoma- Zanzibar - Dar - Dodoma.
Hii ni hoja pia
Ila waliotengenzea hilo dude 787 wanasema ili upate faida lazima walau likae masaa 13 angani kila siku linayofanya biashara , Ukienda kinyume na hilo hakuna namna unaeza pata faida ,

Hij ni wide body designed plane ambayo metal fatigue yake ni kubwa , na hivyo kufanya take off langing cyle yake, kuwa very limited kabla halijakuwa scraped, these shorts routes zitaifanya hizo ndege zipoteze airworthiness , zikwa zingali mpya kabisa.
 
Mama hatumii Dreamliner anatumia Airbus 320 acha upotoshaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom