swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,467
Nimesikitishwa sana nilipotembelea shule ya msingi moja ambako jamaa yangu anafanya kazi nimegundua waalimu wana hali mbaya kwa ajili ya "Hapa kazi tu"
Sasa mashuleni kuna tabia imezuka ya kuvunja haki za binadamu na Utumishi wa umma hasa shule za msingi kutikana na maagizo yanayotilewa na maafisa elimu,wakuu wa wilaya na wakuu wa shule.
Baada ya kuanza hapa kazi tu waalimu wanaambiwa kwamba wajitolee kufundisha kwa awamu mbili bila malipo ya ziada.wanaambiwa pesa hakuna ila wajitolee na kujitilea huko ni lazima.
Waalimu wanafundisha saa za kazi kawaida kuanzia saa8:00 asubuhi hadi saa 3:00 mchana halafu wanarudi saa 10 alasili hadi saa 12 jioni.Hivyo mwalimu inamlazimu kupanda gari mara nne kwa siku kwa mshahara mdogo anaolipwa bila kujali.
Mama ndalichako "Hapa kazi tu iendane na kuzingatia haki na maslahi ya mtumishi.mwalimu hawezi kufaulisha kwa namna hii ya kumlazimisha kufundisha hata nje ya muda wa darasani bila malipo ta ziada.
Kwa sasa hata mwalimu wa kike anayenyonyesha haruhusiwi kuomba ruhusa ya kwenda kunyonyesha mtoto wake kisa "hapa kazi tu"?
Mama Nalichako himizeni waalimu wafundishe lakini haki zao zizingatiwe.
Mwalimu analipwa 377,00 elfu yule ambae ameajiliwa miaka minne iliyopita mnataka apande gari mara nne alipe nauli jwa mshahara huo kweli inawezekana?
Hili linafanyika halmashauri ya jiji la mwanza na Tabira pia nimelikuta.
Kama ni maahizo yako basi haki haitendeki.kana sivyo agiza manyanyaso haya yasiendelee.