Nyara ila nimeila sana hiyo kutoka Tsavo WestView attachment 1827284
Unaruhusiwa kufuga mbuni nyumbani au ni nyara za serikali?
Yaani ilibaki kidogo na bahari ya Hindi ahamishie huko☹️☹️☹️Bigiri ndiyo mbuga pekee yenye peacock katika Afrika
Wanapiga hao balaa, kuna askari mmoja pale ccp aliwahi kuzimishwa na huyo mdudeView attachment 1827284
Unaruhusiwa kufuga mbuni nyumbani au ni nyara za serikali?
Majike Wanatabia ya kulea kwa pamoja, huenda hapo ni mjumuiko wa vifaranga wa majike kadhaaMhh huyu atakuwa aliiba mayai ya mwenzake.
BurigiBugiri ndiyo mbuga pekee yenye peacock katika Afrika
Aisee kumbe ni hatari kufugawanapiga hao balaa,
kuna askari mmoja pale ccp aliwahi kuzimishwa na huyo mdude
Na kibaya zaidi yana mbio huwezi kuyakimbia.wanapiga hao balaa,
kuna askari mmoja pale ccp aliwahi kuzimishwa na huyo mdude
Tausi wamejazwa pori la chato, ulinzi ukilegea tu watu watajiuzia sanaTanzania kila kitu ni nyara, wakati tapeli mmoja amechukua ndege wetu na kuanza kuwagawa hovyo![]()
Burigi ChatoBugiri ndiyo mbuga pekee yenye peacock katika Afrika
Unavyoona hayo mazingira ni nyumbani kwa mtu?View attachment 1827284
Unaruhusiwa kufuga mbuni nyumbani au ni nyara za serikali?
Serikali hairuhusuView attachment 1827284
Unaruhusiwa kufuga mbuni nyumbani au ni nyara za serikali?
Hapana anataka hadi 13 kiwango cha mwishoHv huyu c anataga yai moja tuu au inakuaje.?