mama na mtoto

mama na mtoto

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Posts
6,555
Reaction score
2,841
mama mmoja aliingia kwenye basi akiwa amebeba mtoto
mara dereva akamwambia....... huyo ni mtoto mbaya sijapata kuona...

mama hakumjibu akaingia mpaka kwenye kiti nyuma ya basi
akiwa na hasira kali
akakuta jamaa kakaa kiti cha pili akamwambia....dereva amenitusi
jamaa kwa kujiamini akamwambia...
inabidi uende ukamkanye huko huko mbele....kilete hicho kinyani chako nikushikie.....
 
mama mmoja aliingia kwenye basi akiwa amebeba mtoto
mara dereva akamwambia....... Huyo ni mtoto mbaya sijapata kuona...

Mama hakumjibu akaingia mpaka kwenye kiti nyuma ya basi
akiwa na hasira kali
akakuta jamaa kakaa kiti cha pili akamwambia....dereva amenitusi
jamaa kwa kujiamini akamwambia...
Inabidi uende ukamkanye huko huko mbele....kilete hicho kinyani chako nikushikie.....

ai jamani!
 
Ningejisikia vibaya sana kama mimi, lakini wote walimjibu hawana hekima hata kidogo. Kwani yeye mzuri aliumbwa na nani? Ni upungifu wa akili tu.
 
ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaa... Kinyan duh! Babaake hii ndo imemmalza kabisa
 
Back
Top Bottom