TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

nmepokea kwa masikitiko makubwa saanaa..pumzika kwa amani mama..Pole sana Erick na wafiwa ktk kipindi iki kigumu
 
Dah... so sad!!
Magufuli Magufuli hapa duniani wote tutapita, uwe na hofu ya Mungu na ukumbuke kuwa hata wewe umeumbwa kwa moyo wenye nyama...!
Kwamfano ungesikia kilio cha huyu bibi ungepungukiwa nini kwenye utawala wako?

Amini amini nakwambia mjomba John kifo cha huyu bibi umeki accelerate wewe, vilio na majonzi ya wanandugu wote viko juu yako ww.

John kumbuka Yesu pale msalabani licha ya maumivu makali na mateso aliyopata lakini alimsamehe mharifu aliyekuwa amehangikwa msalabani!
Magufuli siyo wewe uliyemtoa gerezani Babu seya mlawiti?!!
 
Roho inauma sana...kuna muda najiuliza hivi watu wenye mamlaka wana roho tofauti na za binadamu wa kawaida au ? .mtu huna ubinadamu wala huruma au woga hata kidogo yani.!
 
Alijisemea Askofu
IMG-20191231-WA0009.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna aliyemchongea Kabendera nasikia , nadhani sasa amefurahi. Ameanza mwaka mpya na furaha. Lakini ajue na yeye laana hii haitomuacha salama! Pascal Mayalla .
P
 
MUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!
Mungu wangu ninayemwabudu naomba aongeze mapigo katika dua mbaya hii.
 
Dah... so sad!!
Magufuli Magufuli hapa duniani wote tutapita, uwe na hofu ya Mungu na ukumbuke kuwa hata wewe umeumbwa kwa moyo wenye nyama...!
Kwamfano ungesikia kilio cha huyu bibi ungepungukiwa nini kwenye utawala wako?

Amini amini nakwambia mjomba John kifo cha huyu bibi umeki accelerate wewe, vilio na majonzi ya wanandugu wote viko juu yako ww.

John kumbuka Yesu pale msalabani licha ya maumivu makali na mateso aliyopata lakini alimsamehe mharifu aliyekuwa amehangikwa msalabani!
Magufuli siyo wewe uliyemtoa gerezani Babu seya mlawiti?!!
johnthebaptist USSR Kawe Alumni nadhani leo mna furaha tele mioyoni mwenu na mnaanza mwaka mpya kwa furaha tele moyoni! Lkn mjue laana hii haitowaacha salama! Soma komenti, kila mmoja anawalaumu na kuwakemea kwa jina la Yesu mpatilizwe !
 
Back
Top Bottom