Kisutu: Mwandishi Erick Kabendera aieleza Mahakama kuwa anashindwa kupumua vizuri, pia ana maumivu makali ya paja na mfupa

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Mwandishi Erick Kabendera afika mahamaka ya Kisutu. Afya yake kizungumkuti huku akitembea kwa shida,wakati Kabendera akiwa anawasili Mahakamani alionekana kutokua vizuri kiafya kwani alikua akichechemea.

--------
Akiwa Mahakama, Kabendera alipata nafasi ya kuelezea maumivu anayosikia ambapo akijieleza alidai hali ya kushindwa kupumua usiku bado inaendelea na siku nane zilizopita alisikia maumivu makali mguu wa kulia, maumivu makali katika mfupa ndani ya paja hali inayomfanya akose usingizi.

''Hakuna vifaa ila walinipima damu wakanichoma sindano tatu na tatizo likapotea kwa muda, daktari akanishauri kufanya mazoezi nikapata nafuu lakini siku 8 zilizopita nilipata maumivu ya paja na mfupa una maumivu makali,"

Kesi inayomkabili Mwanahabari Erick Kabendera imeahirishwa hadi Septemba 18, Hakimu Agustine Rwizile amemuagiza Mtuhumiwa kuja kuieleza mahakama kile kitakachoendelea kuhusu afya yake.



































PIA SOMA




 
dah inasikitisha sana
Mungu amsaidie,"Even though I walk through the valley of the shadow of death, I will fear no evil, for you are with me; your rod and your staff, they comfort me.

Image result for when i walk through the valley
 
Sidhani kuna mahali imesemwa kapigwa..ni matatizo ya afya
Actually, Maana ya video/picha ni kuonesha jambo pasi na kutumia maneno mengi.

Haina ulazima wa kuandikwa ndio uelewe anachotaka kuiaminisha jamii - he's doing nothing, but seeking for public sympathy, which, he won't get.
 
Back
Top Bottom