Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,016
- 26,611
Mungu ampe pumziko lililo Jema, ampunguzie adhabu ya kaburi ampe kauli thabiti, Amiin
Mungu ampe pumziko lililo Jema, ampunguzie adhabu ya kaburi ampe kauli thabiti, Amiin
Habari mbaya za kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mama wa msanii Hawa Hussen almaarufu Carina, Fatma Maruzuku amefariki dunia.
Mama Carina amefariki leo baada ya mwanae kufariki siku arobaini nyuma
Habari za kifo cha mama wa Carina zimethibitisha na mmoja wa wanafamilia aliyeongea na Global TV dakika chache zilizopita.
Mama Carina alikuwa anasumbliwa na presha na kisukari na hakuweza hata kushiriki arobaini ya mwanaye wiki iliyopita.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Global TV.
View attachment 3358001
AmenMungu ampe pumziko lililo Jema, ampunguzie adhabu ya kaburi ampe kauli thabiti, Amiin
Siku ya msiba wa mwanae dah!! Ila ndo kazi yake MolaAmen
Hakika.Siku ya msiba wa mwanae dah!! Ila ndo kazi yake Mola
Amini Mungu amjalie pumziko jemaHakika.
Na iwe hivyo.Amini Mungu amjalie pumziko jema
NaaamNa iwe hivyo.