Mama mwenye nyumba

Jana usiku mvua ilinyesha, sikuwepo home wakati mvua ikinyesha, hivyo basi sikuwa na stock ya maji ndani.
Nikatoka nikaenda kijiweni kutafuta wauza maji, nliporudi nikamkuta mama mwenye nyumba wangu yuko chumbani kwangu akipiga deki huku akiwa na chupi tu.
Niliishiwa nguvu na kukasirishwa, nimemwambia asiingie tena ndani mwangu, akaniambia kuwa ananipenda sana na ameshindwa kuzizuia hisia zake, ameniambia anaona hata aibu kunidai pango la nyumba.
Jamani mimi sitaki tena kukaa kwenye nyumba hiyo, naomba msaada wenu nipate nyumba haraka.

sasa utabakwa mkuu.
 
Hii ni hatari, wanawake wa kiswahili wanaweza kukupiga jini ukajikuta unatokwa na ufahamu halafu wewe mwenyewe ukamfuata chumbani kwake na kuanza kummega ki BAMBUCHA
 
kama imeshindikana hiyo, na kama kuhama huwezi, mwambie uko na ngoma na akileta za kuleta utamuambukiza. akikusogelea tena ujue hilo ni jini si binadam. hii ni solushen ya mkato na haina gharama.

-THE END-
Atamwambia anakula mbolea..(ARV)
 
mmh! Kaka hama hiyo nyumba kama unaweza samehe kodi. Au kama vipi usipende kushinda nyumbani. Tafuta company hata ya mdogo wako wa kiume ukae nae.
Nahisi hatari inakunyemelea.

Mdogo wake? Duh. Sishauri hivyo kwani naye atategwa na hilo jimama lenye minyeg*. Na akiwa mdhaifu atakula. Tatizo analotaka kulikwepa litahamia kwa dogo.

Nami niliwahi kutamaniwa na kutegwa vibaya na jimama lenye nyumba, ambalo mumewe alikuwa na tatizo la kisukari na alikuwa hawezi 'kazi' (hilo jimama lilikuwa linaniambia yote hayo). Ila niliweza kulikwepa.
 
MIKELA + KIRANJA MKUU = ?; mikela = kiranja mkuu

umestukia eeh? Halafu sehemu zingine linajijibu lenyewe. Mijitu mingine bwana.

watu wanajianzishia thread wenyewe na kujijibu wenyewe
avatar_7545.gif
 
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?

kula hapo !
 
hama kwenye nyumba yake
 
Vp umeshahama kwenye hiyo nyumba? Au ndio umeamua kuishi pamoja na jimama lako?
 
huyo mama mwene nyumba anatafuta mwenza wa kumlelea watoto, kama vp ongea nae kiutu uzima huwe unakula kodi za wapangaji wenzako!!!
 
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
Je wewe una mke na yeye ana mume? kama hivyo ndivyo mwambie kwa ukali sipendi kudhalilishwa tena uwe serious hasa, akiendelea mwambie meo na hatimaye mwambie mume wake kama wote hawaeleweki hama haraka, ila tafuta ku-solve kwani tatizo halikimbiwi ni kutatua maana unaweza kuhama ukakutana na tabia mbaya hata kuliko hiyo ukaja juta kuhama na hatimaye majuto ni mjukuu. Ila na wewe tukuulize akifanya hivyo unachukua hatua gani maana kama unamachekea ndiyo maana anaendelea!!!
 
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.<br />
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.<br />
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
umemalizana vipi na mama mwenye nyumba wako?
 
.........hiyo njia ya kupishania ni ndogo kiasi gani mpk hata ziwa likuguse?wewe mwenyewe unapenda
 
Kuna baadhi ya thread hazifai kuwa ktk jukwaa hili kabisa. Upuuzi mtupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom