T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,899
- 47,067
Hakuna mamamkwe kiazi namna hii. Hii story haijakamilika au umeleta uongo.
Hakuna mjinga wa kutoka sijui Mbagala to Tegeta kila asubuhi na kurudi usiku as if ni mfanyakazi. Unajua usumbufu wa kusafiri wewe, tena kwa mamamkwe? Kila siku apige jalamba kwa mwanae na kurudishwa jioni na zile foleni zote na usumbufu, haiwezekani.