Mama mkwe ni msumbufu, nimechoka. Nifanyeje?

Kuna Besti yangu Tulimaliza nae chuo Mjini hapa Dar yeye akafanikiwa kupata kazi Bank moja ivi ipo Posta ila yeye anakaa Tegeta nyuki. Ana kama miaka miwili toka apate kazi pia akapewa mkopo wa gari IST. Mwaka jana mwezi wa tatu aka oa mke Mtu wa Mbagala alikuwa ni moja wa Classmate wetu..

Ishu ni kwamba mke wake kwa sasa ni mjamzito kama miezi saba hivi. Hivyo anahitaji uangalizi wa karibu sana na yeye mda mwingi yupo kazini anaondoka asubui sana na kurudi usiku. Kila akirudi nyumbani kutoka kazin huwa anamkuta mama mkwe nyumbani kwake (sio jambo baya) na baada ya jamaa kuingia tu mama mkwe huwa anaaga kuondoka hivyo anataka arudishwe kwao Mbagala. Jamaa huwa inamlazimu kumrudisha mama mkwe wake Mbagala na kupelekea kuchoka zaidi na kutumia gharama kubwa za mafuta na kurudi nyumban usiku sana maana Tegeta to Mbagala ni safari.

Jamaa amejaribu kuongea na mke wake amwambie mama mkwe basi awe anakuja hata mara moja kwa week hii ilipelekea ugomvi mke anahisi labda jamaa hampendi mama mkwe wake. Na sababu kubwa mama mkwe anakuja kushinda na mwanae kutokana na hali ya ujauzito hawana hata house girl.

Mara nyingi jamaa ana jaribu kumshawishi basi mkwe alale pale ila mkwe anakataa kabisa anadai hawezi kulala nje ya nyumba yake...

Binafsi nisha wai mshauri jamaa asingizie gari bovu ameliacha garage na alisha jaribu kufanya ivyo ila ili mkost vile vile sababu ilibidi achukue UBER ya kumrudisha mkwe Mbagala..

Sasa jamaa anaomba ushauri afanyaje? Anachoka sana pia anatumia gharama kubwa sana.. Gari yake hawezi kuiuza sababu bado inakatwa ni ya mkopo wa bank..
AMCHUKUE MKE AMPELEKE KWA MAMA YAKE MBAGALA MPAKA ATAKAPO JIFUNGUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo hakuna haja ya kuzunguka zunguka ni kumchana mkwe laivu,mimi niliwahi kupatwa na shida ya mama mkwe anakuja kwangu anakaa mpaka miezi sita mara mwaka,hataki kukaa kijijini kabisa nikajaribu kuongea na wife azungumze na mamake naona anajidai hanielewi,siku nimewangojea wamekaa sebuleni wanachekacheka nikatoka chumbani na boxer,nikamuuliza mama mkwe mwanao kakupa maelekezo yangu,akasema hapana,nikamwambia kimsingi inatakiwa kesho uende kijijini maelekezo mengine nitakupa ukiwa huko huko
 
mtongoze
Kuna Besti yangu Tulimaliza nae chuo Mjini hapa Dar yeye akafanikiwa kupata kazi Bank moja ivi ipo Posta ila yeye anakaa Tegeta nyuki. Ana kama miaka miwili toka apate kazi pia akapewa mkopo wa gari IST. Mwaka jana mwezi wa tatu aka oa mke Mtu wa Mbagala alikuwa ni moja wa Classmate wetu..

Ishu ni kwamba mke wake kwa sasa ni mjamzito kama miezi saba hivi. Hivyo anahitaji uangalizi wa karibu sana na yeye mda mwingi yupo kazini anaondoka asubui sana na kurudi usiku. Kila akirudi nyumbani kutoka kazin huwa anamkuta mama mkwe nyumbani kwake (sio jambo baya) na baada ya jamaa kuingia tu mama mkwe huwa anaaga kuondoka hivyo anataka arudishwe kwao Mbagala. Jamaa huwa inamlazimu kumrudisha mama mkwe wake Mbagala na kupelekea kuchoka zaidi na kutumia gharama kubwa za mafuta na kurudi nyumban usiku sana maana Tegeta to Mbagala ni safari.

Jamaa amejaribu kuongea na mke wake amwambie mama mkwe basi awe anakuja hata mara moja kwa week hii ilipelekea ugomvi mke anahisi labda jamaa hampendi mama mkwe wake. Na sababu kubwa mama mkwe anakuja kushinda na mwanae kutokana na hali ya ujauzito hawana hata house girl.

Mara nyingi jamaa ana jaribu kumshawishi basi mkwe alale pale ila mkwe anakataa kabisa anadai hawezi kulala nje ya nyumba yake...

Binafsi nisha wai mshauri jamaa asingizie gari bovu ameliacha garage na alisha jaribu kufanya ivyo ila ili mkost vile vile sababu ilibidi achukue UBER ya kumrudisha mkwe Mbagala..

Sasa jamaa anaomba ushauri afanyaje? Anachoka sana pia anatumia gharama kubwa sana.. Gari yake hawezi kuiuza sababu bado inakatwa ni ya mkopo wa bank..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha apambane...otherwise ajifanye ukauzu......anakataa kibabe.....wanasema unakinukisha.......tgt - mbgl sio hapa, naukiwa umechoka na stress za job.....
 
Back
Top Bottom