Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,144
Nimejaribu kulipima hili suala kwa kujiweka mie sehemu ya mumeo na kuangalia what actions i would take.
mke wangu akiniambia nimrudishe mama yangu mzazi nyumbani kwa sababu kama hii, basi nadhani atarudi yeye kwanza kwao kabla ya mama angu.
hii ni changamoto kama zilivyo changamoto nyingine kwenye ndoa, inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Ongea na mumeo kuhusu hili, mwambie unakua unajisikia vibaya mama mkwe wako anapokuongelea kwa namna hiyo, atakufariji na atakwambia ujitahidi kumpenda tu ivyo ivyo maana ndie mama alie mlea tangia ananyonya,anajinyea mpaka sasa kawa mmeo.
na ukishapata support/ushauri huo kutoka kwa mmeo basi itakua rahisi kwako kutoyatia moyoni sana maneno yake, kwani unajua kwamba you are doing this for your husband, after some few weeks mama mkwe atarudi kwao bila ya kujua chochote kile.
Huyo mama mkwe ana mapenzi ya dhati na mwanae kama ilivyo kwa mama wengine, sometimes mapenzi hayo yanaweza kuzidi sana kiasi kumfanya asiwe na judgement nzuri, kama hivyo anavyosema kuhusu chakula, pengine yy akilini mwake anamuwaza mwanae asikae njaa, hajui at the same time ana kuumiza ww na maneno hayo.
this is the time to grow, na hii ni moja tu ya changamoto utazokutana nazo kwenye ndoa, zipo nyingine kibao huko mbeleni (sikuombei mabaya ila ndo uhalisia wa maisha).
so the question is, will you pass this test or fail? only you hold the answer to this question, not your "mama mkwe" not your husband.