Nashukuru kwa michango,
Nikiangalia saa saizi ni saa tatu na dk saba, ndo ametoka kuingia siyo muda mrefu , kutoka wapi? Kwa mama!!!!!,
Tulikubaliana anaenda kuna mgonjwa anaenda kumtazama pale home, ni kweli. tumewasiliana vzr hadi mida ya saa nane mchana, saa kumi na moja namchek hapatikani mama hapatikani mdogowake anapatikana akanipa niongee nae, ananambia umeme umekatika na simu hazikuwa na chaji, unaondoka saa ngapi, ooh mume wangu nitachelewa coz kuna tatizo mama kapata, aah mbona hukunambia mapema, aah kupitiwaaaa!! Kimasikhara kama tunataniana!! Na.siyo mara ya kwanza hii late coming kutoka home kwa mama!!! Huyu ni mke wangu!! Sasa kwann asimshauri kwamba mwambie mumeo kwamba kuna tatizo coz inaonekana halijatokea ghafla halafu siambiwi ni tatizo gani'!!
Wananiona mi ni easy taker au vp????!!!!
Aah Mamdenyi, ndo mnavoshauriana na mama zetu wakwe hivo!!!!!?
zaa hlf ujue huo ukaribu una maana gani?wivu tu unaokusumbua mtu kuwa karibu na mama yake ndo inakuaje kwani?umemnunua mzima mzima?hebu ondoa fikra potofu
Lakini wewe hupo na mume! Hivyo huwezi kuwa reference pointNi wewe tu hauko karibu na wazazi\mama. Wenzio wanatupigia hivyo hivyo. Huwa tunashauri tu hatuharibu.
Mie sioni baya Hapo, wewe unasema wanaongea mara4 Kwa siku Mie naingia Na mamangu hata Mara 10 Kwa siku Na mkwewangu pia Lakini nafasi Ya mumewangu iko pale pale Na wala halalamiki, Sasa sijui sababu naongea Na mamake pia au mda wake yeye anaupata, chamsingi usijikere Huyo ni mama Na wewe Na mume kila mmoja ana haki Yake..
Nashukuru kwa michango,
Nikiangalia saa saizi ni saa tatu na dk saba, ndo ametoka kuingia siyo muda mrefu , kutoka wapi? Kwa mama!!!!!,
Tulikubaliana anaenda kuna mgonjwa anaenda kumtazama pale home, ni kweli. tumewasiliana vzr hadi mida ya saa nane mchana, saa kumi na moja namchek hapatikani mama hapatikani mdogowake anapatikana akanipa niongee nae, ananambia umeme umekatika na simu hazikuwa na chaji, unaondoka saa ngapi, ooh mume wangu nitachelewa coz kuna tatizo mama kapata, aah mbona hukunambia mapema, aah kupitiwaaaa!! Kimasikhara kama tunataniana!! Na.siyo mara ya kwanza hii late coming kutoka home kwa mama!!! Huyu ni mke wangu!! Sasa kwann asimshauri kwamba mwambie mumeo kwamba kuna tatizo coz inaonekana halijatokea ghafla halafu siambiwi ni tatizo gani'!!
Wananiona mi ni easy taker au vp????!!!!
Aah Mamdenyi, ndo mnavoshauriana na mama zetu wakwe hivo!!!!!?
Duh kama imenigusa hivi mimi mama yangu ndo tulivyo tunapigiana hata zaidi ya mara nne kumbe inakwaza
.....hii kuingia ndani saa 3 usiku haipo sawa. Ila kuongea kwenye simu ni kawaida hata mara 10 sawa tu.
Labda anakuwa bored na wewe ndio maana anarudi late! Jitahidi kuwa romantic kwa mkeo.
Nashukuru kwa michango,
Nikiangalia saa saizi ni saa tatu na dk saba, ndo ametoka kuingia siyo muda mrefu , kutoka wapi? Kwa mama!!!!!,
Tulikubaliana anaenda kuna mgonjwa anaenda kumtazama pale home, ni kweli. tumewasiliana vzr hadi mida ya saa nane mchana, saa kumi na moja namchek hapatikani mama hapatikani mdogowake anapatikana akanipa niongee nae, ananambia umeme umekatika na simu hazikuwa na chaji, unaondoka saa ngapi, ooh mume wangu nitachelewa coz kuna tatizo mama kapata, aah mbona hukunambia mapema, aah kupitiwaaaa!! Kimasikhara kama tunataniana!! Na.siyo mara ya kwanza hii late coming kutoka home kwa mama!!! Huyu ni mke wangu!! Sasa kwann asimshauri kwamba mwambie mumeo kwamba kuna tatizo coz inaonekana halijatokea ghafla halafu siambiwi ni tatizo gani'!!
Wananiona mi ni easy taker au vp????!!!!
Aah Mamdenyi, ndo mnavoshauriana na mama zetu wakwe hivo!!!!!?
zaa hlf ujue huo ukaribu una maana gani?wivu tu unaokusumbua mtu kuwa karibu na mama yake ndo inakuaje kwani?umemnunua mzima mzima?hebu ondoa fikra potofu
Stahamili; binti yangu alipoolewa, na ilikuwa kaolewa nchi nyingine, basi mwaka wa mwanzo kutwa mara kumi simu, mara hiki mara kile, lakini alipojifunguwa tu simu zikakata, sasa hivi anaweza kukaa hata wiki mbili sijaongea nae.
Stahamili, mtoto wa kike mpaka a build sense if seurity kwako inachukuwa time. Na pengine hizo simu nyingi kwa mama'ke anataka ushauri tu wa kuishi vyema na wewe. Unafikiri kuna kigine kipi zaidi? Usiwe na hofu yatapunguwa kila muda unavyokwenda.
Ni kawaida sana, hususan kwa watoto wa kike walioishi na kukulia kwa mama zao mpaka wanaolewa.