julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
- Thread starter
- #41
Sista kasema unacheza Baishoo mkuu,sasa sijui baishoo gani? mi simo......
sista kuja hapa ufafanue maana naona kama ......... ........ makubwa sana!
Sista kasema unacheza Baishoo mkuu,sasa sijui baishoo gani? mi simo......
Ndiyo huo ni mtego ambao wao tayari wanafahamu matokeo yake ambayo yana maslahi binafsi kwao ndo maana wakakushawishi. Pia angalia mahusiano yako na mkweo mtarajiwa siku za usoni yasije kuleta matatizo kwenye ndoa iwapo utkubali.
Pia angalia usije baada ya kuoa, ukawa fundi wa kujenga boma wakati huohuo unaezeka paa.
- Mkweo ambaye unadiriki kumtamkia neno papuchi kwa jina lake sahihi,naye akaona kawaida, je kutakuwepo na kuheshimiana huko mbeleni? Na kwa nini wewe umtamkie papuchi, ulikuwa na lengo gani?
- Kama mmefikia hatua hiyo kwa nini akupe mke?
- Mitego itakoma baada ya kuoa au itaendelea?
- Wewe mwenyewe bila kushauriwa na mtu una mtazamo upi? Umempenda huyo binti? Kwa lipi? Kwa kuwa na wewe una mtazamo na malengo yako ktk maisha, je mtaendana? Si kila kitu lazima uamuliwe na wengine, heshimu mawazo na hisia zako,vinginevyo jiandae kuwa mtumwa wa wenye maamuzi yao juu ya maisha yako.
- Unaweza kumwuliza kwa nini ameamua kukupa mke ili uweze kung'amua lengo lake ni lipi?
julius mahinya
Unamtaka nani kati yao kwani:
Umesema mama mkwe mnatajiana hata majina ya vitu vya ndani;
Binti naye anataka uchumba ;
Yani bora tena kama ungekua umetafutiwa, "UMESHAWISHIWA UMUOWE"
kibo kya nsiire!
siku zote ulipokuwa unapiga story na mama mkwe ulikuwa huna mwanamke je ?uyo best ma mkwe hakuwahi kumuona mwanamke wako.kama anamjua au ulishawahi kumuhadithia kuwa una uhusiano na mwanamke mwengine kuwa macho zaidii
Kikawaida, huwa tunapaswa kuheshimu mama wakwe zetu kama mama zetu waliotuzaaa/waliotulea. Najifotolesha picha kuwa mie ndio huyo mke halafu mume wangu na mama yangu ni ma-bestee ile kinoma...wa-kutaniana hadi kutaja sehemu nyeti kwa uwazi. Halafu mama akija kwetu unaweza kuta yuko busy na mume wangu aka besti-ake kuliko mie mwanae?? :thinking:Chagua moja kijana - You can't have it all. Just out of curiosity - Huyo mama ana mume?
dogooo...kula mzigo huo..marafiki zako hao "maanti" wamesubiri uwaombe papuchi wanaona unachelewa sasa kukujaribu kama jogoo wako anawika wamekutupia mtoo wao kama chambo...na ukimla tuu anawasimulia jinsi jogoo wako anavyopiga kokoriko na wao wanaanza kutaka uwatafune...
unapimwa urijali dogo gutukaaaa..kula mzigo huo na tena piga section zote A NA B...ili akiwasimulia mama zake ambao ndio "mashoga zako"...watarajie kupata dozi kama uliyompa-chambo wao.
Kikawaida, huwa tunapaswa kuheshimu mama wakwe zetu kama mama zetu waliotuzaaa/waliotulea. Najifotolesha picha kuwa mie ndio huyo mke halafu mume wangu na mama yangu ni ma-bestee ile kinoma...wa-kutaniana hadi kutaja sehemu nyeti kwa uwazi. Halafu mama akija kwetu unaweza kuta yuko busy na mume wangu aka besti-ake kuliko mie mwanae?? :thinking:Chagua moja kijana - You can't have it all. Just out of curiosity - Huyo mama ana mume?
Habari zenu wana janvi?
Nimekuwa ni mtu wa kujichanganya na jamii sana, hali iliyonifanya kuwa na marafiki wengi sana wa namna tofauti tofauti ila nashukuru sijawahi kukosana na mtu katika mitaa hii! japo najua si kila mtu ananipenda!
Sasa kuna bidada mmoja wa makamo ana watoto wawili wa kike ni best yangu mkubwa sana mara nyingi nimekuwa nikipiga naye sitori na kutaja hata papuchi kwa jina lake sahihi mbele yake! sasa juzi kati yeye na rafiki zake wengine walinishawishi kuoana na binti yake nami nilipofanya jaribio la kuongea na mtoto wake leo alionekana kama kasetiwa hana hapana kwa kila nalo sema! ilinifanya niogope japo mtoto ana sifa za kuitwa mke wa mtu (20 yrs ni umri wake), sasa nami nilimtaka tuanze mahusiano, theni uchumba baadae kama ni mapenzi yake mola ndio ndoa!
ila hakuna alicho pinga jamani emu nifungueni macho hapa nisije ambulia kulia! au kama niko sawa niwekeni wazi!
Binti ana miaka 20, wewe je? Ukinijibu nitarudi...waiting...
Binti ana miaka 20, wewe je? Ukinijibu nitarudi...waiting...
...............just be careful,usipoangalia utakula kuku na kifaranga pamoja,kwanza kwanini ushawishiwe uwe rafiki na huyo binti,huyo binti ameshindwa kujitafutia boy friend/mchumba for that matter? there is something fishy,halafu wewe unawezaje kuwa na mama mkwe ambaye alikuwa rafiki yako wa karibu hivyooo?.....utaliwa usipoangalia fungua machooo...maongezi yangu yenye i love u umeyasikia wapi mkuu! au ndio kuwa much know? haya karibu unishauri umri wangu 27, una jipya?
naomba nikuulize wewe na helpless hopeless ni ndugu?