Mama mkwe mshikaji

julius mahinya

JF-Expert Member
May 11, 2013
1,152
384
Habari zenu wana janvi?
Nimekuwa ni mtu wa kujichanganya na jamii sana, hali iliyonifanya kuwa na marafiki wengi sana wa namna tofauti tofauti ila nashukuru sijawahi kukosana na mtu katika mitaa hii! japo najua si kila mtu ananipenda!
Sasa kuna bidada mmoja wa makamo ana watoto wawili wa kike ni best yangu mkubwa sana mara nyingi nimekuwa nikipiga naye sitori na kutaja hata papuchi kwa jina lake sahihi mbele yake! sasa juzi kati yeye na rafiki zake wengine walinishawishi kuoana na binti yake nami nilipofanya jaribio la kuongea na mtoto wake leo alionekana kama kasetiwa hana hapana kwa kila nalo sema! ilinifanya niogope japo mtoto ana sifa za kuitwa mke wa mtu (20 yrs ni umri wake), sasa nami nilimtaka tuanze mahusiano, theni uchumba baadae kama ni mapenzi yake mola ndio ndoa!
ila hakuna alicho pinga jamani emu nifungueni macho hapa nisije ambulia kulia! au kama niko sawa niwekeni wazi!
 
follow ur heart..
kila siku watu wanaimba humu..bata ukimkagua sana huumli
 
Biashara matangazo julius mahinya, nazani umenielewa usiku mwema mi naenda kulala
 
Habari zenu wana janvi?
Nimekuwa ni mtu wa kujichanganya na jamii sana, hali iliyonifanya kuwa na marafiki wengi sana wa namna tofauti tofauti ila nashukuru sijawahi kukosana na mtu katika mtaa hii! japo najua si kila mtu ananipenda!
Sasa kuna bidada mmoja wa makamo ana watoto wawili wa kike ni best yangu mkubwa sana mara nyingi nimekuwa nikipiga naye sitori na kutaja hata papuchi kwa jina lake sahihi mbele yake! sasa juzi kati yeye na rafiki zake wengine walinishawishi kuoana na binti yake nami nilipofanya jaribio la kuongea na mtoto wake leo alionekana kama kasetiwa hana hapana kwa kila nalo sema! ilinifanya niogope japo mtoto ana sifa za kuitwa mke wa mtu (20 yrs ni umri wake), sasa nami nilimtaka tuanze mahusiano, theni uchumba baadae kama ni mapenzi yake mola ndio ndoa!
ila hakuna alicho pinga jamani emu nifungueni macho hapa nisije ambulia kulia! au kama niko sawa niwekeni wazi!

hayo maandishi niliyokoleza yananifanya niwe na wasiwasi hapo kuna kamtego na ukithubutu kumgusa atakuganda mpaka utamuoa!!
kumbuka BORA UKOSEE KUJENGA NYUMBA KULIKO KUKOSEA KUOA!!!
 
Habari zenu wana janvi?
Nimekuwa ni mtu wa kujichanganya na jamii sana, hali iliyonifanya kuwa na marafiki wengi sana wa namna tofauti tofauti ila nashukuru sijawahi kukosana na mtu katika mitaa hii! japo najua si kila mtu ananipenda!
Sasa kuna bidada mmoja wa makamo ana watoto wawili wa kike ni best yangu mkubwa sana mara nyingi nimekuwa nikipiga naye sitori na kutaja hata papuchi kwa jina lake sahihi mbele yake! sasa juzi kati yeye na rafiki zake wengine walinishawishi kuoana na binti yake nami nilipofanya jaribio la kuongea na mtoto wake leo alionekana kama kasetiwa hana hapana kwa kila nalo sema! ilinifanya niogope japo mtoto ana sifa za kuitwa mke wa mtu (20 yrs ni umri wake), sasa nami nilimtaka tuanze mahusiano, theni uchumba baadae kama ni mapenzi yake mola ndio ndoa!
ila hakuna alicho pinga jamani emu nifungueni macho hapa nisije ambulia kulia! au kama niko sawa niwekeni wazi!

Samahani" ........ Unamaana ulitafutiwa demu wa ........... Oohhh
 
mkuu we lazima una profoundly-gifted IQ!yani leo tu umegundua motto ana sifa za kuitwa mke wa mtu?....ngoja wajuzi wa mambo waje,mi kwangu :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Una umri gani? mbona maongezi yako yanaonyesha unacheza bai shoo i love you bebi
 
maongezi yangu yenye i love u umeyasikia wapi mkuu! au ndio kuwa much know? haya karibu unishauri umri wangu 27, una jipya?
naomba nikuulize wewe na helpless hopeless ni ndugu?
 
Hv kaka unaoa kwa kushawishiwa au kwa kupenda? Mmh! Listen ur heart says mengine baadae
 
Back
Top Bottom