Mama mkwe mpiga chabo

Bujibuji, unakaa wapi na mie nihamie?
Huko kwenu raha sana, sidhani kama huwa mnasoma magazeti, kusikiliza eredio au kuangalia tv .
Maana hizo events zinazotokea huko ni zaidi ya cnn+bbc
 
ndio maana mi nlihama uswahilini.
nlikuwa naishi kwa mtogore, kila subuhi nikiamka mama mwenye nyumba anaomba anifulie nguo zangu.
nikawa namkatalia, lakini ikafika kipindi nikawa namuachia anifulie, akaanza kuniomba na funguo za chumba.
siku moja nikamkuta kalala kitandani kwangu uchi, eti kisa nina godoro la spring linampa raha sana.
cha ajabu akaendelea kujibakiza huko, nlipokuwa nakimbia kuuepuka utupu wa mtu mama mzima kama mama yangu akaanza kulia, eti ninamtesa
Haaaaaaaaaaaaa mbavu sina. Wewe ni Yusufu wa kwenye Biblia ambaye alimkimbia mke wa Potifa kama wewe!Hongera kwa kuikimbia dhambi na Mungu akusaidie hivyo siku zote!
 
Kila mtu anaweza kuwa kama nabii yusufu inategemea na aina ya mwanamke uliyekutana naye.
Ukikutana na mrembo amekolea kila idara na akakuvutia, unakuwa binadamu wa kawaida.
Ila ukikutana na kitu kina sura mbaya utafikiri amekutana na smell mbaya ya chooni, ni kweli kabisa unageuka na kuwa yusufu.
Simple
haaaaaaaaaaaaa mbavu sina. Wewe ni yusufu wa kwenye biblia ambaye alimkimbia mke wa potifa kama wewe!hongera kwa kuikimbia dhambi na mungu akusaidie hivyo siku zote!
 
Vituko hivi ndio vinavyonifanya nizidi kukupenda uswahilini na wala sina mpango wa kuhama leo wala kesho.
Halafu nikihamia ushuani, kuku wa kienyeji ntapata wapi?
Si unajua tena mijikuku ya kisasa haina ladha zaidi ya kupiga puga kelele zisizo na mvuto
baki uswazi mkuu yaani kuna raha sana ushuani noma tupu
 
ah ah ah uncle buji nimependa picha yako maana kiukweli mmefanana sana ah ah ah ngoja nikamuonyeshe chelulute
 
Hapo mlimkosea dawa yake kabla hamja mfikia mlitakiwa mumbeep na jiwe kwanza ndio mswali yangefuata.
 
Haaaaaaaaaaaaa mbavu sina. Wewe ni Yusufu wa kwenye Biblia ambaye alimkimbia mke wa Potifa kama wewe!Hongera kwa kuikimbia dhambi na Mungu akusaidie hivyo siku zote!

Acha kumuongopea hajakimbia dhambi.kakimbia rahaaa
 
Visa viliendelea, kuna siku akanijia kanuna sana, akawa anasema kuna kibaka anafukuzwa kwa hiyo kakimbilia chumbani kwangu, nikamhakikishia kuwa hamna mtu ameingia, akasema lazima aingie ili amsake na kumtoa nje, nyumba yake isije ikaonekana ni maficho ya wezi na vibaka. Maneno yake yalikuwa makali na mimi nilikuwa nauhakika kuwa hamna aliyeingia.
Nikamruhusu aje kupekua.
Alipokuwa anachungulia uvunguni, akanyanyua juu sketi yake na kubaki utupu kabisa, kwani hakuvaa kile kijivazi kidogo cha ndani, akatoka akanifuata na kuanza kunisogezea mdomo wake kwangu, nikampush nikasema kuwa mimi sio kibaka amchukue kibaka wake kisha aondoke.
Alipo ona nimekuwa mkali sana kwake akaamua kunichunia, na akawaa ananitishia atanifanyia kitu kibaya.
Nikaona isiwe kero nikahama.
Siku yangu ya kuhama akaanza kulia, eti nsihame, ananipenda na hawezi kuishi bila mimi.

Oyah nipe namba za huyo bi mdashi nataka kile chumba ulichotoka ww.
 
ndio maana mi nlihama uswahilini.
nlikuwa naishi kwa mtogore, kila subuhi nikiamka mama mwenye nyumba anaomba anifulie nguo zangu.
nikawa namkatalia, lakini ikafika kipindi nikawa namuachia anifulie, akaanza kuniomba na funguo za chumba.
siku moja nikamkuta kalala kitandani kwangu uchi, eti kisa nina godoro la spring linampa raha sana.
cha ajabu akaendelea kujibakiza huko, nlipokuwa nakimbia kuuepuka utupu wa mtu mama mzima kama mama yangu akaanza kulia, eti ninamtesa
jamani,mtu mzima nae anataka damu changa.kwa kuwa mtu mzima,na yeye asipendwe?
 
Sasa ukamuacha hivi hivi mbona story hujamalizia sasa?
ndio maana mi nlihama uswahilini.
nlikuwa naishi kwa mtogore, kila subuhi nikiamka mama mwenye nyumba anaomba anifulie nguo zangu.
nikawa namkatalia, lakini ikafika kipindi nikawa namuachia anifulie, akaanza kuniomba na funguo za chumba.
siku moja nikamkuta kalala kitandani kwangu uchi, eti kisa nina godoro la spring linampa raha sana.
cha ajabu akaendelea kujibakiza huko, nlipokuwa nakimbia kuuepuka utupu wa mtu mama mzima kama mama yangu akaanza kulia, eti ninamtesa
 
Mwambie Jamaa yako ampe likizo Mke wake ili aone mama Mkwe atafanyaje? Kama na nyumba ameshamjengea ni bora kujilipa humo humo tu kuku na mayai yake.
 
Ndagha malafyale, bhaghonile ahbana nu nkasigho, nkinkulu ujo akenyile!. Huo ni mwendelezo wa uchawi wanamfanyia kijana wa watu mpaka hana mahusiano mazuri na wazazi wake, yawezekana hata mke wa jamaa analijua hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom