Kwa uandishi huu ni haki yako kupigwa mizinga maana na yeye kakuona wa UDOM.

HaswaaaaUkipenda boga penda na ua lake yakheeeee!!!
Hii ndio njia nzuri ya kumfukuza mpiga mizinga.Mkopeshe kama laki tano uone kama atarudi
Kaka kwanza pole sana. Pili hakuna kitu kibaya kama kutoa kitu kwa Shingo upande....so kuwa mwanaume acha kudekeza ujinga. Utapatwa na msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo pia.Wandugu natumai mko poa,
Huyu mama mkwe wangu jama ananinyima raha hasahasa pale simu yake itapoita imekuwa kama fomula akinipigia ni mizinga ya hela tu, hana shida kivile anajiweza lakini anataka kula vyangu tu, nimemchoka.Nailea familia ya mke wangu kuliko yangu.
Nipeni ushauri nifanye nini ili mizinga ipungue?
Wandugu natumai mko poa,