Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
Wandugu natumai mko poa,
Huyu mama mkwe wangu jama ananinyima raha hasahasa pale simu yake itapoita imekuwa kama fomula akinipigia ni mizinga ya hela tu, hana shida kivile anajiweza lakini anataka kula vyangu tu, nimemchoka.Nailea familia ya mke wangu kuliko yangu.
Nipeni ushauri nifanye nini ili mizinga ipungue?