Sitokubali kamweWacha mama anywe damu za wajukuu
Ntang'ata ze dudu kudadadadadadadadekiBuji mbona kama ilishaletwa humu hii
Bado anang'ata tu
Na nyie mng'ateni
Jike shupaVipi,huwa anavaa tisheti imeandikwa "SIMBA JIKE"?
Hotep Hotep Wakushi wote humu ndani. Ni natumaini YANGU kuwa mu buheri wa siha muruwa kabisa.
Vampire huyo. Wasalimie jamaa wa mbeyaHotep Hotep Wakushi wote humu ndani. Ni natumaini YANGU kuwa mu buheri wa siha muruwa kabisa.
Ama baada ya salaam amazing, dhumuni la waraka huu ni kuwashirikisha kisa cha Mama mkwe wangu na tabia yake ya ajabu awaadhibupo wajukuu zake.
Nimekuja na watoto ukweni, Nyanda za Juu Kusini Magharibi mwa nchi yetu kuwwleta watoto kwa Bibi yao mzaa Mama.
Huyu mwenye suti ya kaki ni Bujibuji kabisa, yaani najiona Mimi mwenyeweVampire huyo. Wasalimie jamaa wa mbeyaView attachment 1819050
Inafikirisha, maana nasikia watoto wanafuata akili za mama zaoKama ni kweli, hata mke hafai, jipange
Babu alikuwa na wivu, nasikia Hawa ni nduguze
Ha ha ha Hima Empire.Babu alikuwa na wivu, nasikia Hawa ni nduguze
Hii naomba uifungulie special thread JamiiForums Intelligence Forum, nitag baada ya hapo.Ha ha ha Hima Empire.
Rwanda na Burundi zote zina wahutu majority na Tutsi the second majority.
Hivi kwa nini watutsi wa Rwanda wanakubalika sana kuliko Burundi?
Mbinu za tag au mention kwa kutumia tecno sijui kabisa pamoja na ukongwe wanguHii naomba uifungulie special thread JamiiForums Intelligence Forum, nitag baada ya hapo.
Tutachota madini mengi kinoma
Bibi ukute ana Ngwengwe huyo
Hotep Hotep Wakushi wote humu ndani. Ni natumaini YANGU kuwa mu buheri wa siha muruwa kabisa.
Ama baada ya salaam amazing, dhumuni la waraka huu ni kuwashirikisha kisa cha Mama mkwe wangu na tabia yake ya ajabu awaadhibupo wajukuu zake.
Nimekuja na watoto ukweni, Nyanda za Juu Kusini Magharibi mwa nchi yetu kuwwleta watoto kwa Bibi yao mzaa Mama.
Likizo ni njema sana kwangu binafsi na watoto, tumepata nafasi ya kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii, mbuga za wanyama Ruaha, Udzungwa, Mikumi, Selous na mbuga pekee ya mimea nchini .
Pia tulitembelea daraja la Mungu likilopo mto Kiwira, kijungu, ziwa Ngosi, ziwa Kisiba nk.
Baada ya mizunguko na vijana wangu pamoja na watoto wa ndugu wengine tukaenda kwa Bibi yao, nikawaacha hapo Mimi nikajisogeza mjini ili niwaache na Bibi yao huku wakijifunza kazi za shamba, kuteka maji, kuokota kuni, na kadhalika.
Niliwaachia simu ili kurahisisha mawasiliano. Basi juzi first born akaniambia alivunja glass, Bibi yake akampiga sana kisha akamuuma hadi akatoka damu. Nilistaajabu sana.
Nikampigia mama watoto wangu kumuelezea, akaniambia hata wao walipokuwa wadogo wameng'atwa sana na mama yao, yaani Yuko hivyo.
Jamani Wakushi wenzangu je hi ni Hali ya kawaida au ndio u vampire
Wapake mavi ya kuku bibi aoze meno.......... hahahahahaahahHotep Hotep Wakushi wote humu ndani. Ni natumaini YANGU kuwa mu buheri wa siha muruwa kabisa.
Ama baada ya salaam amazing, dhumuni la waraka huu ni kuwashirikisha kisa cha Mama mkwe wangu na tabia yake ya ajabu awaadhibupo wajukuu zake.
Nimekuja na watoto ukweni, Nyanda za Juu Kusini Magharibi mwa nchi yetu kuwwleta watoto kwa Bibi yao mzaa Mama.
Likizo ni njema sana kwangu binafsi na watoto, tumepata nafasi ya kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii, mbuga za wanyama Ruaha, Udzungwa, Mikumi, Selous na mbuga pekee ya mimea nchini .
Pia tulitembelea daraja la Mungu likilopo mto Kiwira, kijungu, ziwa Ngosi, ziwa Kisiba nk.
Baada ya mizunguko na vijana wangu pamoja na watoto wa ndugu wengine tukaenda kwa Bibi yao, nikawaacha hapo Mimi nikajisogeza mjini ili niwaache na Bibi yao huku wakijifunza kazi za shamba, kuteka maji, kuokota kuni, na kadhalika.
Niliwaachia simu ili kurahisisha mawasiliano. Basi juzi first born akaniambia alivunja glass, Bibi yake akampiga sana kisha akamuuma hadi akatoka damu. Nilistaajabu sana.
Nikampigia mama watoto wangu kumuelezea, akaniambia hata wao walipokuwa wadogo wameng'atwa sana na mama yao, yaani Yuko hivyo.
Jamani Wakushi wenzangu je hi ni Hali ya kawaida au ndio u vampire wenyewe?

AmekumissYemwenyewe anasemaje