Mama mfua Nguo mtaani aolewa na bilionea

Kweli maisha haya hakuna ajuae kesho tena hayana formula
Kuna mama mmoja bwana kazi yake ni kufua na kufanya u safi

Huyu mama katufanyia Sana kazi toka 2015 anakuja jnne kufua na kufanya u safi,na alhamis kufanya u safi na kunyoosha.banda ya kuwa na watoto tukapata Dada akawa anakuja Mara moja tu kufua.alikuwa maskini na watoto 3 Ila Bonge la mchapakazi Dada wa watu.
Mwaka Jana mwishoni akazingua akasema hataki kunyoosha moto unamuumiza kifua mi nikaelewa tu .Mara hataki kufua sabuni zinamuunguza .blah blah nyingi nikaona asinizingue maana mi kufua na kunyoosha umri huu ni Kama sabaya na utawala Mpya
Jana nimekutana nae mamaa kidogo nizimie
Kaolewa na boss mmoja aliconectiwa na Rafiki yangu ili nae awe anamfulia na kumfanyia usafi.mkewe alifariki na watoto wanakaa nje .so mzee kamchukua na wanae and ze life goes on.nawaza kwanini sikwenda kufua huko kwa Huyu mzee
Maisha hubadilika kama bahari kupwa na kujaa
 
Kawaida Sana hiyo tunaona kila siku ma beki tatu wanaolewa na boss mama mwenye nyumba anaachika. Watu wenye uwezo kuna vitu vidogovidogo sana wanavikosa sasa ikatokea mtu akafanya ni rahisi kupendezwa ie kufua, kupika, usafi nk
Hii kweli kabisa. Kuna jamaa yangu wa karibu kamuoa dada wa kazi. Na jamaa yupo manjee mfukoni. Alikua haishi kumsifia yule binti mzuri mpaka tabia zake na jinsi anavyofanya kazi.
 
Si nasikia Jacky Baada ya kupata watoto na kuolewa alianza kumtesa mzee mengi
Inategemea alikua anamteseje kama hivi
Screenshot_20211030-195904_1.jpg
 
Hii kweli kabisa. Kuna jamaa yangu wa karibu kamuoa dada wa kazi. Na jamaa yupo manjee mfukoni. Alikua haishi kumsifia yule binti mzuri mpaka tabia zake na jinsi anavyofanya kazi.
Unatujua sisi wanaume tunapambana ili kupata hela sasa ukishazipata utahitaji mtu atakaye kujali kwa kila kitu
 
Sifa za mabilionea katika kutafuta mke huwa hawapendi kujionesha wana hela, anaweza akakufuata akiwa rough ili aipime tabia yako kama ume qualify kua mke bora

Wanawake wengi wanakwama hapo kasababu wao wanataka waone ishara ya utajiri kutoka kwako ili wa pretend

Na mimi pia niko hivyo hua na behave kama sina hela ili nioneshwe tabia halisi
Kweli kabisa ndugu
 
Kweli maisha haya hakuna ajuae kesho tena hayana formula
Kuna mama mmoja bwana kazi yake ni kufua na kufanya u safi

Huyu mama katufanyia Sana kazi toka 2015 anakuja jnne kufua na kufanya u safi,na alhamis kufanya u safi na kunyoosha.banda ya kuwa na watoto tukapata Dada akawa anakuja Mara moja tu kufua.alikuwa maskini na watoto 3 Ila Bonge la mchapakazi Dada wa watu.
Mwaka Jana mwishoni akazingua akasema hataki kunyoosha moto unamuumiza kifua mi nikaelewa tu .Mara hataki kufua sabuni zinamuunguza .blah blah nyingi nikaona asinizingue maana mi kufua na kunyoosha umri huu ni Kama sabaya na utawala Mpya
Jana nimekutana nae mamaa kidogo nizimie
Kaolewa na boss mmoja aliconectiwa na Rafiki yangu ili nae awe anamfulia na kumfanyia usafi.mkewe alifariki na watoto wanakaa nje .so mzee kamchukua na wanae and ze life goes on.nawaza kwanini sikwenda kufua huko kwa Huyu mzee
Njoo ufue kwangu bibie... who knows?? labda na mimi ntakuja kuwa bilionea
 
Jitahidi kuandika vizuri... Unaandika kama unakimbizwa...

Hata hueleweki....
 
Kweli maisha haya hakuna ajuae kesho tena hayana formula
Kuna mama mmoja bwana kazi yake ni kufua na kufanya u safi

Huyu mama katufanyia Sana kazi toka 2015 anakuja jnne kufua na kufanya u safi,na alhamis kufanya u safi na kunyoosha.banda ya kuwa na watoto tukapata Dada akawa anakuja Mara moja tu kufua.alikuwa maskini na watoto 3 Ila Bonge la mchapakazi Dada wa watu.
Mwaka Jana mwishoni akazingua akasema hataki kunyoosha moto unamuumiza kifua mi nikaelewa tu .Mara hataki kufua sabuni zinamuunguza .blah blah nyingi nikaona asinizingue maana mi kufua na kunyoosha umri huu ni Kama sabaya na utawala Mpya
Jana nimekutana nae mamaa kidogo nizimie
Kaolewa na boss mmoja aliconectiwa na Rafiki yangu ili nae awe anamfulia na kumfanyia usafi.mkewe alifariki na watoto wanakaa nje .so mzee kamchukua na wanae and ze life goes on.nawaza kwanini sikwenda kufua huko kwa Huyu mzee
Eti kidogo uzimie?!!!,Kisa na mkasa?. Wanawake Acheni wivu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom