JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,090
- 5,876
Sema hatuwezi kuishi bila wanawake. Na kuwa na mtoto hakuondoi sifa ya kuwa mwanamke.😄Kuishi bila sisi
Sema hatuwezi kuishi bila wanawake. Na kuwa na mtoto hakuondoi sifa ya kuwa mwanamke.😄Kuishi bila sisi
Bahati ni jitihada zinapokutana na fursa!! Hiyo fursa ingekukuta kwenye harakati zako za kutafuta may be leo wewe ndiye ungekuwa main character kwenye hii movieHii ni zaidi ya bahati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah sijui nianze kufua na kunyoosha
Uende kufua ili iweje? Hela za mwanaume zinakutoa macho eti? Tafuta zako, ndo nyie mnaingia kwenye ndoa sababu ya shida zenu na njaa za matumbo yenu. Mwenzio hakufata ela kafata upendo. We vipi?Kweli maisha haya hakuna ajuae kesho tena hayana formula
Kuna mama mmoja bwana kazi yake ni kufua na kufanya u safi
Huyu mama katufanyia Sana kazi toka 2015 anakuja jnne kufua na kufanya u safi,na alhamis kufanya u safi na kunyoosha.banda ya kuwa na watoto tukapata Dada akawa anakuja Mara moja tu kufua.alikuwa maskini na watoto 3 Ila Bonge la mchapakazi Dada wa watu.
Mwaka Jana mwishoni akazingua akasema hataki kunyoosha moto unamuumiza kifua mi nikaelewa tu .Mara hataki kufua sabuni zinamuunguza .blah blah nyingi nikaona asinizingue maana mi kufua na kunyoosha umri huu ni Kama sabaya na utawala Mpya
Jana nimekutana nae mamaa kidogo nizimie
Kaolewa na boss mmoja aliconectiwa na Rafiki yangu ili nae awe anamfulia na kumfanyia usafi.mkewe alifariki na watoto wanakaa nje .so mzee kamchukua na wanae and ze life goes on.nawaza kwanini sikwenda kufua huko kwa Huyu mzee
Bahati ni jitihada zinapokutana na fursa!! Hiyo fursa ingekukuta kwenye harakati zako za kutafuta may be leo wewe ndiye ungekuwa main character kwenye hii movieHii ni zaidi ya bahati
Njoo ufue kwangu mama hata mimi ni tajiriKweli maisha haya hakuna ajuae kesho tena hayana formula
Kuna mama mmoja bwana kazi yake ni kufua na kufanya u safi
Huyu mama katufanyia Sana kazi toka 2015 anakuja jnne kufua na kufanya u safi,na alhamis kufanya u safi na kunyoosha.banda ya kuwa na watoto tukapata Dada akawa anakuja Mara moja tu kufua.alikuwa maskini na watoto 3 Ila Bonge la mchapakazi Dada wa watu.
Mwaka Jana mwishoni akazingua akasema hataki kunyoosha moto unamuumiza kifua mi nikaelewa tu .Mara hataki kufua sabuni zinamuunguza .blah blah nyingi nikaona asinizingue maana mi kufua na kunyoosha umri huu ni Kama sabaya na utawala Mpya
Jana nimekutana nae mamaa kidogo nizimie
Kaolewa na boss mmoja aliconectiwa na Rafiki yangu ili nae awe anamfulia na kumfanyia usafi.mkewe alifariki na watoto wanakaa nje .so mzee kamchukua na wanae and ze life goes on.nawaza kwanini sikwenda kufua huko kwa Huyu mzee
NakupendaKuna wale wanaokunywa sumu maisha yakiwa magumu bila kufahamu mipango ya Mungu kesho yako.
Kwani unazo mkuu?Sifa za mabilionea katika kutafuta mke huwa hawapendi kujionesha wana hela, anaweza akakufuata akiwa rough ili aipime tabia yako kama ume qualify kua mke bora
Wanawake wengi wanakwama hapo kasababu wao wanataka waone ishara ya utajiri kutoka kwako ili wa pretend
Na mimi pia niko hivyo hua na behave kama sina hela ili nioneshwe tabia halisi
Acha hujuma me sipendi hela kiivo hataHebu wanaume Njooni na someni hii post vizuri.
Alicho data Miss Natafuta sio kwamba mfua nguo kaolewa ila ni kwamba kaolewa na BILIONEA.
The POINT is MONEY.
Haya nyie endelea kukomaa na huku empty hand.
TAFUTA PESAA NDUGU MWANAUME MWENZANGU.
#YNWA
Kuna mama juzi mume alifariki kumbe alikuwaga beki tatu wake akamuacha wife akamuoa?Kawaida Sana hiyo tunaona kila siku ma beki tatu wanaolewa na boss mama mwenye nyumba anaachika. Watu wenye uwezo kuna vitu vidogovidogo sana wanavikosa sasa ikatokea mtu akafanya ni rahisi kupendezwa ie kufua, kupika, usafi nk
Kazi ngumu hyoNjoo ufue kwangu mama hata mimi ni tajiri
Iinaitwaje?Kuna movie ya Kinigeria, mama wa kambo alimtesa mtoto wa mume wake na kuhakikisha anamuoza kwa kijana masikini mbeba mizigo ya watu mtaani. Pasi kufahamu yakuwa kijana ni mtoto wa tajiri aliyekua anatafuta a humble girl to be his wife.
Wambea wanasema Jacky alimn'goa mzee machache kwa Madam Bss kutokana na mzee alivyojaa tu bidada alikua anamfanyia mzee kila kitu kuanzia kumpikia chakula, kufua na kupiga pasi, usafi wa nyumba nk bila kutegemea housemaid ndio maana mzee alikolea sana maana ni vitu ambavyo hata aliyekua mke wake alikua hafanyi ule ndio ulikua uchawi mpaka mzee akaona isiwe shida uridhi wangu wote naacha kwa bidada na wanaweKuna mama juzi mume alifariki kumbe alikuwaga beki tatu wake akamuacha wife akamuoa?
Si nasikia Jacky Baada ya kupata watoto na kuolewa alianza kumtesa mzee mengiWambea wanasema Jacky alimn'goa mzee machache kwa Madam Bss kutokana na mzee alivyojaa tu bidada alikua anamfanyia mzee kila kitu kuanzia kumpikia chakula, kufua na kupiga pasi, usafi wa nyumba nk bila kutegemea housemaid ndio maana mzee alikolea sana maana ni vitu ambavyo hata aliyekua mke wake alikua hafanyi ule ndio ulikua uchawi mpaka mzee akaona isiwe shida uridhi wangu wote naacha kwa bidada na wanawe