Mama mfua Nguo mtaani aolewa na bilionea

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Kweli maisha haya hakuna ajuae kesho tena hayana formula
Kuna mama mmoja bwana kazi yake ni kufua na kufanya u safi

Huyu mama katufanyia Sana kazi toka 2015 anakuja jnne kufua na kufanya u safi,na alhamis kufanya usafi na kunyoosha. Banda ya kuwa na watoto tukapata Dada akawa anakuja Mara moja tu kufua. Alikuwa masikini na watoto 3 Ila Bonge la mchapakazi Dada wa watu.

Mwaka Jana mwishoni akazingua akasema hataki kunyoosha moto unamuumiza kifua mi nikaelewa tu Mara hataki kufua sabuni zinamuunguza blah blah nyingi nikaona asinizingue maana mi kufua na kunyoosha umri huu ni Kama Sabaya na utawala Mpya
Jana nimekutana nae mamaa kidogo nizimie.

Kaolewa na boss mmoja aliconectiwa na Rafiki yangu ili nae awe anamfulia na kumfanyia usafi, mkewe alifariki na watoto wanakaa nje so mzee kamchukua na wanae and ze life goes on nawaza kwanini sikwenda kufua huko kwa Huyu mzee.
 
Kweli maisha haya hakuna ajuae kesho tena hayana formula
Kuna mama mmoja bwana kazi yake ni kufua na kufanya u safi

Huyu mama katufanyia Sana kazi toka 2015 anakuja jnne kufua na kufanya u safi,na alhamis kufanya u safi na kunyoosha.banda ya kuwa na watoto tukapata Dada akawa anakuja Mara moja tu kufua.alikuwa maskini na watoto 3 Ila Bonge la mchapakazi Dada wa watu.
Mwaka Jana mwishoni akazingua akasema hataki kunyoosha moto unamuumiza kifua mi nikaelewa tu .Mara hataki kufua sabuni zinamuunguza .blah blah nyingi nikaona asinizingue maana mi kufua na kunyoosha umri huu ni Kama sabaya na utawala Mpya
Jana nimekutana nae mamaa kidogo nizimie
Kaolewa na boss mmoja aliconectiwa na Rafiki yangu ili nae awe anamfulia na kumfanyia usafi.mkewe alifariki na watoto wanakaa nje .so mzee kamchukua na wanae and ze life goes on.nawaza kwanini sikwenda kufua huko kwa Huyu mzee
Kwa sababu halikuwa fungu lako.
 
Sifa za mabilionea katika kutafuta mke huwa hawapendi kujionesha wana hela, anaweza akakufuata akiwa rough ili aipime tabia yako kama ume qualify kua mke bora

Wanawake wengi wanakwama hapo kasababu wao wanataka waone ishara ya utajiri kutoka kwako ili wa pretend

Na mimi pia niko hivyo hua na behave kama sina hela ili nioneshwe tabia halisi
 
Kweli maisha haya hakuna ajuae kesho tena hayana formula
Kuna mama mmoja bwana kazi yake ni kufua na kufanya u safi

Huyu mama katufanyia Sana kazi toka 2015 anakuja jnne kufua na kufanya u safi,na alhamis kufanya u safi na kunyoosha.banda ya kuwa na watoto tukapata Dada akawa anakuja Mara moja tu kufua.alikuwa maskini na watoto 3 Ila Bonge la mchapakazi Dada wa watu.
Mwaka Jana mwishoni akazingua akasema hataki kunyoosha moto unamuumiza kifua mi nikaelewa tu .Mara hataki kufua sabuni zinamuunguza .blah blah nyingi nikaona asinizingue maana mi kufua na kunyoosha umri huu ni Kama sabaya na utawala Mpya
Jana nimekutana nae mamaa kidogo nizimie
Kaolewa na boss mmoja aliconectiwa na Rafiki yangu ili nae awe anamfulia na kumfanyia usafi.mkewe alifariki na watoto wanakaa nje .so mzee kamchukua na wanae and ze life goes on.nawaza kwanini sikwenda kufua huko kwa Huyu mzee
Uende kufanya nini acha tamaa, We Unaonekana Mvivu kwanza kwahiyo Tuliza Kitako chini

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Njoo ufue kwangu

Back
Top Bottom