Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Oct 24, 2021 #1 Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee Wasalaam!
Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee Wasalaam!
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Oct 24, 2021 #2 Nilisikia yupo ughaibuni, sijui kama kasharudi
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 20,546 Reaction score 14,797 Oct 24, 2021 #3 Labda baadae mambo yalienda ndivyo sivyo!
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,605 Reaction score 74,431 Oct 24, 2021 #4 Alikwenda Nje Ya Nchi Kumwakilisha Rais Ila Wameonywa Waache Mdomo
Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Oct 24, 2021 Thread starter #5 Kennedy said: Alikwenda Nje Ya Nchi Kumwakilisha Rais Ila Wameonywa Waache Mdomo Click to expand... Akiacha mdomo atashindwa kutrend aisee...sisi tushamzoea na mdomo wake
Kennedy said: Alikwenda Nje Ya Nchi Kumwakilisha Rais Ila Wameonywa Waache Mdomo Click to expand... Akiacha mdomo atashindwa kutrend aisee...sisi tushamzoea na mdomo wake
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,605 Reaction score 74,431 Oct 24, 2021 #6 Analogia Malenga said: Akiacha mdomo atashindwa kutrend aisee...sisi tushamzoea na mdomo wake Click to expand... Haa Haa Anasema Mumewe Kachanja Johnson And Johnson Mpango Wa Covax Lakini Mtambo Upo Vizuri Haa Haa
Analogia Malenga said: Akiacha mdomo atashindwa kutrend aisee...sisi tushamzoea na mdomo wake Click to expand... Haa Haa Anasema Mumewe Kachanja Johnson And Johnson Mpango Wa Covax Lakini Mtambo Upo Vizuri Haa Haa
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 15,625 Reaction score 22,543 Oct 25, 2021 #7 Analogia Malenga said: Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee Wasalaam! Click to expand... Mh! Mbona kaumri kama kamesonga sana? Hivi aliyefikia 'ukomo' anaweza akaingia maabara akatest mitambo na matokeo yakaswihi, au yalikuwa maneno tu kutuonesha kuwa tunajua hatujui!
Analogia Malenga said: Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee Wasalaam! Click to expand... Mh! Mbona kaumri kama kamesonga sana? Hivi aliyefikia 'ukomo' anaweza akaingia maabara akatest mitambo na matokeo yakaswihi, au yalikuwa maneno tu kutuonesha kuwa tunajua hatujui!
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,730 Oct 25, 2021 #8 Labda mitambo ilikataa/ilikata network tena, kaenda kufanya re-testing. Haya mambo magumu kweli, network zimekata, huu ukimya si wa kawaida, ila mm nampenda sana Gwaji lady, yuko in high beats kila wakati.. 😅😅
Labda mitambo ilikataa/ilikata network tena, kaenda kufanya re-testing. Haya mambo magumu kweli, network zimekata, huu ukimya si wa kawaida, ila mm nampenda sana Gwaji lady, yuko in high beats kila wakati.. 😅😅