Mama Maria Nyerere ampa siri nzito Dr Slaa, angalia hapa!

Tuache unafiki , mama huyu anajua unafiki wenu , anajua kabisa mlivyomtukana mume wake marehemu sasa subirini laana . Hamuwezi kuifuta laana hii kwa kujipendekeza mkadhani hajui.

Mama Maria anajua kutofautisha ukweli na matusi labda ninyi mnatumia akili za Lukuvi!
 
Nadhani una matatizo, Dr Slaa juzi alikuwa Bunda jana alitembelea familia ya Mwl Butiama na alikutana na Mama Maria.
kati yangu mimi na wewe nani ana matatizo? kwa nini mmetumia picha za 2011 na kizilisha maneno kuonesha jamii kwamba ni za jana? hatujakataa kuwa jana mzee wa gongo alikuwa huko ila picha sio maana tunauhakika mama Maria hawezi kuwapa tena nafasi ya kuteta na makanjanja kama nyie.

[h=2]Monday, February 28, 2011[/h][h=3]WABUNGE WA CHADEMA WATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA[/h]


mdee.jpg

Mbunge Wa Jimbo La Kawe Kupitia Chadema Mh Halima Mdee Akiweka Shada la Maua Juu ya Kaburi La Baba wa taifa Musoma Walipokwenda Kutembelea Familia Ya Mwalimu Nyerere Pamoja Na Mama Maria Nyerere.

Katibu Mkuu Wa Chadema Mh Dkt Wilbroad Slaa Akiteta Jambo na Mama Maria Nyerer



 
Kumbe kinachokuuma ni kukutana na Mama Maria! kwa taarifa yako wamekutana na mimi nilikuwa kwenye msafara na sasa tunaingia Kagera. It's a matter of time kabla hatujayaweka hadharani!
 
Kumbe kinachokuuma ni kukutana na Mama Maria! kwa taarifa yako wamekutana na mimi nilikuwa kwenye msafara na sasa tunaingia Kagera. I it' a matter of time kabla hatujayaweka hadharani!


mpk tubadili mada maana naona nimekushika pabaya. huyu mpo nae kagera au bado ana hangover kibao? pili ilikuwaje akaenda kunywea bar ya milembe-dodoma


  • attachment.php
 
Hivi kasahau Nyerere aling'ang'ania miaka 24?

Hivi kasahau Nyerere hajawahi kabisa kuwapa wananchi kutoa maoni kabla ya kufanya katiba zake Ikulu?

Hivi kasahau kuwa Nyerere alikuwa haambiliki?

Kama kasahau yote hayo, itakuwa matatizo ya umri au kale kaugonjwa kaukoo kaasili au mnatia nyinyi maneno kinywani mwake.

Unapo zeeka akili nazo zinazeeka.
 
Tuache unafiki , mama huyu anajua unafiki wenu , anajua kabisa mlivyomtukana mume wake marehemu sasa subirini laana . Hamuwezi kuifuta laana hii kwa kujipendekeza mkadhani hajui.

Nipe tusi moja alilotukanwa mwalimu,ndo mana mnamchagulia magazeti ili mumpoteshe
 
Wanaangahika tu na huyo mama hapo alipo "net" inakata kila saa,anaweza sema jambo hapa dak mbili badae akasahau!
Mlipomfuata hamkujua kuwa net inakata?Au net inakata baada ya kuwapa za uso?Hata hivyo hamshangazi,,mmejaa vikapu vya SD-Card za matusi mioyoni mwenu.Mh.Kingunge pia CCM ya leo imejaa watukanaji,CCM ya asili ilikuwa ya heshima na staha.
 
Ni mama maria huyo huyo ambaye mumewe mlimtukana kwa kumwita muongo,muuaji na aliyezoea vya kunyonga ?
Kuna mmoja aliambiwa mpmbvu wapambe wakaenda mahakamani kule wakaambiwa siyo tusi. Sasa hapo sijui kama kuna tusi labda ungesema ni ukosoaji mkali. Cha msingi kama aliyesema hivyo ana mifano ya madai yake hapo hakuna tatizo. Mwl mwenyewe akiwa hai aliwaita baadhi ya viongozi WAHUNI, wajinga, walevi wa madaraka nk. Hakuwahi kulalamikiwa kuwa katukana!
 
kati yangu mimi na wewe nani ana matatizo? kwa nini mmetumia picha za 2011 na kizilisha maneno kuonesha jamii kwamba ni za jana? hatujakataa kuwa jana mzee wa gongo alikuwa huko ila picha sio maana tunauhakika mama Maria hawezi kuwapa tena nafasi ya kuteta na makanjanja kama nyie.[h=2]Monday, February 28, 2011[/h][h=3]WABUNGE WA CHADEMA WATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA[/h]
mdee.jpg
Mbunge Wa Jimbo La Kawe Kupitia Chadema Mh Halima Mdee Akiweka Shada la Maua Juu ya Kaburi La Baba wa taifa Musoma Walipokwenda Kutembelea Familia Ya Mwalimu Nyerere Pamoja Na Mama Maria Nyerere. Katibu Mkuu Wa Chadema Mh Dkt Wilbroad Slaa Akiteta Jambo na Mama Maria Nyerer
ITV nao walirusha video hiyo jana saa 2 kwenye habari yao...Cdm mnatisha basi! Mnakaba hata penati?
 
Hapo Kwenye picha Mama Maria Nyerere anakuwa anamuuliza saba kama ifuatavyo:
1. Umeshaoa sasa?
2. Rose Kamili ulimzalisha watoto wangapi?
3. Josephine Mushumbushi watoto wangapi?
4. Kwa nini ulikimbia upadiri?
5. Pesa uliyokopa Chadema umeirudisha?
6. Pesa za Sabodo?
7. Uchaguzi lini Chadema?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom