Mama Maria Nyerere ampa siri nzito Dr Slaa, angalia hapa!

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,120
2,000

Baada ya mama watu kulionya taifa hili kwamba litaanguka kutokana na rushwa, watu kung'ang'ania madaraka na kutojali maoni ya wananchi. Lakini pia Mama huyu alisema anazuiwa kusema na kusoma magazeti anayotaka mpaka anawatuma wajukuu zake kumnunulia magazeti yanayosema ukweli. Mama huyu amempa siri nzito Dr Slaa ambayo mipango ya chama ni kuitoa hadharani muda ukifika

Source: Mi mwenyewe ktk msafara na sasa tunaingia Kagera.
 
WAZIWAZI

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
1,786
2,000
Monday, February 28, 2011

WABUNGE WA CHADEMA WATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA

Mbunge Wa Jimbo La Kawe Kupitia Chadema Mh Halima Mdee Akiweka Shada la Maua Juu ya Kaburi La Baba wa taifa Musoma Walipokwenda Kutembelea Familia Ya Mwalimu Nyerere Pamoja Na Mama Maria Nyerere.

Katibu Mkuu Wa Chadema Mh Dkt Wilbroad Slaa Akiteta Jambo na Mama Maria Nyerer
mkuu hizi picha mbona ziliripotiwa mitandaoni 28/2/2011 au umeamka na viroba kichwani? mods naomba wa-jin-ga kama hawa ili kulinda hadhi ya jukwaa delete.
 
omusita

Senior Member
Oct 13, 2013
108
0
Ni wazee wachache tu ambao bado wana imani na serikali ya ccm wengi wao akiwemo huyu mama hawana shida tena na serikali hii dhalimu isiowajali hata kimatibabu haswa huku kwetu vijijini
 
mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,120
2,000
Ni mama maria huyo huyo ambaye mumewe mlimtukana kwa kumwita muongo,muuaji na aliyezoea vya kunyonga ?

Mlivyo na hasira wakati Mama kamukaribisha kwa heshima Dr Slaa ya moyoni maana anajua huyu ndo mzalendo namba moja nchini!
 
samaki2011

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
1,776
0
Ccm daima....hongera mama wa taifa..slaa amepata ujumbe wako

Hivi ifwero mbona unajitoa ufahamu ktk maswala mazito ndugu yangu, we unamuona mama hapo anatoa siri za chama chenu halafu badala ya kustuka unatia mbwembwe za maneno, ccm ndo inakufa hivyoo
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,292
2,000

Baada ya mama watu kulionya taifa hili kwamba litaanguka kutokana na rushwa, watu kung'ang'ania madaraka na kutojali maoni ya wananchi. Lakini pia Mama huyu alisema anazuiwa kusema na kusoma magazeti anayotaka mpaka anawatuma wajukuu zake kumnunulia magazeti yanayosema ukweli. Mama huyu amamepa siri nzito Dr Slaa ambayo mipango ya chama ni kuitoa hadharani muda ukifika

Hivi kasahau Nyerere aling'ang'ania miaka 24?

Hivi kasahau Nyerere hajawahi kabisa kuwapa wananchi kutoa maoni kabla ya kufanya katiba zake Ikulu?

Hivi kasahau kuwa Nyerere alikuwa haambiliki?

Kama kasahau yote hayo, itakuwa matatizo ya umri au kale kaugonjwa kaukoo kaasili au mnatia nyinyi maneno kinywani mwake.
 
mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,120
2,000
Soma ujumbe ndg, unalalamikia picha kwani Dr Slaa hakuwa Butiama jana?
 
fuatilia kwa umakini haya ni maigizo ya gongo=bavicha picha za uongo tu.
[h=2]Monday, February 28, 201[/h][h=3]WABUNGE WA CHADEMA WATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA[/h]Mbunge Wa Jimbo La Kawe Kupitia Chadema Mh Halima Mdee Akiweka Shada la Maua Juu ya Kaburi La Baba wa taifa Musoma Walipokwenda Kutembelea Familia Ya Mwalimu Nyerere Pamoja Na Mama Maria Nyerere.
Katibu Mkuu Wa Chadema Mh Dkt Wilbroad Slaa Akiteta Jambo na Mama Maria Nyerer

m

WAZIWAZI

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
1,786
2,000
Soma ujumbe ndg, unalalamikia picha kwani Dr Slaa hakuwa Butiama jana?

picha za jana ziko wapi hizi ni za mwaka 2011
[h=2]Monday, February 28, 2011[/h][h=3]WABUNGE WA CHADEMA WATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA[/h]Mbunge Wa Jimbo La Kawe Kupitia Chadema Mh Halima Mdee Akiweka Shada la Maua Juu ya Kaburi La Baba wa taifa Musoma Walipokwenda Kutembelea Familia Ya Mwalimu Nyerere Pamoja Na Mama Maria Nyerere.

Katibu Mkuu Wa Chadema Mh Dkt Wilbroad Slaa Akiteta Jambo na Mama Maria Nyerer 

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,120
2,000
picha za jana ziko wapi hizi ni za mwaka 2011
Monday, February 28, 2011

WABUNGE WA CHADEMA WATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA

Mbunge Wa Jimbo La Kawe Kupitia Chadema Mh Halima Mdee Akiweka Shada la Maua Juu ya Kaburi La Baba wa taifa Musoma Walipokwenda Kutembelea Familia Ya Mwalimu Nyerere Pamoja Na Mama Maria Nyerere.

Katibu Mkuu Wa Chadema Mh Dkt Wilbroad Slaa Akiteta Jambo na Mama Maria Nyerer
Nadhani una matatizo, Dr Slaa juzi alikuwa Bunda jana alitembelea familia ya Mwl Butiama na alikutana na Mama Maria.
 
Vladmir

Senior Member
Apr 14, 2014
178
0
Tuache unafiki , mama huyu anajua unafiki wenu , anajua kabisa mlivyomtukana mume wake marehemu sasa subirini laana . Hamuwezi kuifuta laana hii kwa kujipendekeza mkadhani hajui.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom