Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Leo nilikuwa nafuatilia mchakato wa watu wanaochaguliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi CCM (uchaguzi Mkuu 2015).
Cha kustaajabisha ni pale nilipomsikia Mama Makinda, Spika wa Bunge akisema "wanawake walikuwa hawafiki kileleni mpaka hii awamu ya nne ndio wamefika kileleni shukrani zimuendee JK"😂😂😂😂
Me sijakuelewa sana huyu Mama je ninyi mmemuelewa?