Mama Lwakatare acha ulaghai

Mlaghai sana huyo mama, amaetumia dini kujipatia mali....kwani atakwenda nazo kaburini? Wote watatoa accountability mbele za Mungu na huko hakuna favors....
 
mama mjasiriamali wa ukweli
ukiwa na kipaji cha kuongea na kujenga hoja hakuna haja ya kugombea ubunge wewe fungua kanisa -- inalipa saana.

Ila kuwa makini siku ya mwisho mambo yote hadharani.
 
Muacheni Mtumishi Mchungaji Kiongozi Dr. Getrude Mpangalile Rwakatare ajiachie na Fedha zetu za Sadaka! Alamba alamba tena! Am! Am! Am! Alamba alamba tena! Am! Am! Am!
 
Lakini nao Bima walimuuzia kwa kigezo cha watoto yatima? kwani BIMA ni shirika la watoto yaima? hapa kama kudanganya tuanzie m,bali tusianzie kwake. Mimi mtu akijiita mlokole anikalie mbali kabisa nawepa kuchapa vibao maana wanaibia maskini mali na wake zao.

Mlaghai sana huyo mama, amaetumia dini kujipatia mali....kwani atakwenda nazo kaburini? Wote watatoa accountability mbele za Mungu na huko hakuna favors....
 
Huyu mama sio mtumishi.Anachofanya ni usanii ule ule tuliouzoea wa Mzee wa upako,Mwingira,Vernon,akina Kakobe nk.Mwisho wao ni jehanam ya moto.
 
Hivi shirika la Bima kumbe linauza viwanja kwa wanaotoa huduma kwa yatima? Nionyesheni kiwanja kingine cha Bima hapa mujini nikawaambie na mimi waniuzie!
 
:A S embarassed: hawa ndio wale ambao bwana atawatimua siuku watakayomwambia walinena kwa jina lake na kuponya wagonjwa.:lol:
 
Huyu mama sio mtumishi.Anachofanya ni usanii ule ule tuliouzoea wa Mzee wa upako,Mwingira,Vernon,akina Kakobe nk.Mwisho wao ni jehanam ya moto.

Mbona hujamalizia orodha ya hao unaowaita "wasanii", badala yake unaweka tu "n.k."? Ngoja nikusaidie. Na Papa Benedict XVI, na Kadinali Pengo, na Malasusa, na Mokiwa, na Gamanywa, na Mtokambali, na Kulola, na Mufti Shaaban bin Simba, na "Nabii" TB Joshua, na Mwakasege, na Gwajima, na Ndegi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…