kuponya wanaponya; sadaka wanapata lakini.........peli.Walokole wa siku hizi bwana!
keherehere chake ....Mume wangu ,nimetembea na nabii na mtume na baba-source- mwingira mke wa muumini
ukiwa na kipaji cha kuongea na kujenga hoja hakuna haja ya kugombea ubunge wewe fungua kanisa -- inalipa saana.mama mjasiriamali wa ukweli
Mlaghai sana huyo mama, amaetumia dini kujipatia mali....kwani atakwenda nazo kaburini? Wote watatoa accountability mbele za Mungu na huko hakuna favors....
Mama Lwakatare kwa kutumia ulaghai na kofia ya kuwasaidia watoto yatima aliuziwa nyumba za shirika la bima pale tabata Bima.
Alidanganya kuwa anataka kufungua kituo cha watoto yatima ili auziwe kwa bei bwerere. Alichofanya baada ya kuuziwa ni kuchukua watoto kumi wa ndugu zake na kuwaweka pale kwa muda wa miaka miwili kisha akawarudisha makwao. Kwa sasa anataka kufanya lile eneo kuwa chuo kikuu cha st Marys.
Wadau hebu niambieni kuna chembe ya Mungu ndani ya mama huyu?
Jamani akianzisha chuo kikuu,atacreate employment.Sasa lipi baya hapa?
Huyu mama sio mtumishi.Anachofanya ni usanii ule ule tuliouzoea wa Mzee wa upako,Mwingira,Vernon,akina Kakobe nk.Mwisho wao ni jehanam ya moto.
kwani walokole wa zamani walikuwaje!? Hakuna jipya chini ya jua.Walokole wa siku hizi bwana!
sasa hamtaki chuo kianzisshwe jamani? si bora huyo kuliko hayo mafisadi yanaiba mabilioni yanaenda kuyahifadhi huko marekani? lakini simtetei kivile.