Mama kwa Mtoto wa Kiume

Mhhh...babu kwa maswali??!!!!

mzima lakini wewe?

Sijambo mpenzi

Nimekumisi mpaka nimesahau namna ya kumisi....

Eti laaziz......ukiona mwanamke anavua chupi, unaweza kujua ni za nani kama hujawahi kumwona mvaaja akiwa amezivaa?

Ngoja nikalale mwaego!
 
Si vibaya mama na mwanawe kupendana hivyo kwani ndivyo inavyotakiwa lakini katika society yoyote ile kupendana huko kuna limits. Ndiyo maana hata katika Torati/ Biblia inataka watu wapendane sana lakini inalimit baba/mama kulala na mwanaye au dada/kaka kulalana it is common sense sasa mama kufua hata chupi naona si kawaida imepitiliza!!!!!!!!!
 
Sijambo mpenzi

Nimekumisi mpaka nimesahau namna ya kumisi....

Eti laaziz......ukiona mwanamke anavua chupi, unaweza kujua ni za nani kama hujawahi kumwona mvaaja akiwa amezivaa?

Ngoja nikalale mwaego!

mhhh...babu unanimiss???!!! wakati unajua napatikana wapi...mhhh???!!!

Kwa kweli hilo swali ngumu sana...labda tumsubiri Dena aje ajibu
 
mhhh...babu unanimiss???!!! wakati unajua napatikana wapi...mhhh???!!!

Kwa kweli hilo swali ngumu sana...labda tumsubiri Dena aje ajibu

Tatizo hata kule mtaani kwetu, nikikupitia nakuta ushafunga milango.

Kwema?

Ngoja nirudi kitandani niwaachieni mjadala wenu wa chupi.
 
Kuna jambo zito sana ambalo ni vigumu sana kulielewa,kama inawezekana ingefaa kwanza tujue hao ndugu wengine ni wa jinsia gani na wanafanya nini katika kusukuma gurudumu la maisha,maana kinachotokea hapa ni kitu ambacho si rahisi kukubalika katika maisha yetu sisi waafrika kwa mama kumfulia mtoto nguo mpaka za ndani tena wa umri mkubwa kama huo.
Yafaa pia kujua undani wa familia hiyo,inawezekana kuna ubaya au uzuri wa yote ambayo yanaonekana hapo.
 
Mi nawapinga wote mnaosema anamdekeza.......khaaaaaa!

Ukweli ni kwamba wanamegana.

Sitajibu swali lolote ntakaloulizwa hapa.....samahani sana.

Sijawahi kusikia mama anatembea na mwanawe. Mchezo huo wanao wakina baba. Tuwe wakweli.
 
mama kumfulia mwanae kufuli naona imekuwa nongwa,na ya house girl kumfulia baba kufuli imekaaje hiyo? au houseboy kufua ya mama? ina maana hawa nao wanalambana? chonde chonde jamani tusimhukumu huyu mama na mwanae.
 
Mh...!!!Dena we si mpangaji?Sasa unataka kujua mambo yao ya nini tena,na bora umeuliza huku JF maana kama umeuliza na maeneo unayoishi na habari zikawafikia yatakayokupata usisite kutuhabarisha maana ninahisi utapewa notisi ya saa moja.
 
Mi nawapinga wote mnaosema anamdekeza.......khaaaaaa!

Ukweli ni kwamba wanamegana.

Sitajibu swali lolote ntakaloulizwa hapa.....samahani sana.
fellow tablet, kweli kulelewa famasi samtaimu kunasaidia. hapa hakuna kudekezwa wala shemeji yake kudekezwa hii mama inaserebuka na mwanawe.

halaf namimi nasisitiza hili suala ambalo limeulizwa b4, DA alijuaje kama hayo makufuli ni ya huyo kijana? au alipatiwa ufunuo na yohanna?
 
Hahahaha....fellow...hili swali tangu liulizwe DA kaingia mitini. Au kuna uwezekano DA na mama wanachangia ufuaji wa chupi za dogo? Wivu siyo dawa..........
 
Hahahaha....fellow...hili swali tangu liulizwe DA kaingia mitini. Au kuna uwezekano DA na mama wanachangia ufuaji wa chupi za dogo? Wivu siyo dawa..........
hehehe hii wanasayansi tunaita holy threesome, lazima DA ana share tu kwa huyu mkaka, mimi mpaka leo makufuli ya waifu siyajui acha ya mtoto wa jirani, khaaa!. na kwa sheria za mahakama ya kisutu hapa DA hatoki, ni bora abadilishe ID tu yaishe.
 
Hahahah we kijana una akili kama Newton....atakuwa kashabadili ID huyu.....alivyokuwa na aleji na JF hawezi kosekana jamvini kwa siku mbili.....sasa ndugu yangu we umenizidi kama hata ya waifu huyajui.....dah! Mi hata nepi za mai lasti boni wangu sijui zina rangi gani.
 
jana alikuwepo baada ya kuanzishiwa sredi na gadaffi (ni kibaka flani ameanzisha sred anammind DA), lakini cha kushangaza hii sredi alijifanya kama hakuianzisha yeye vile! hakuja hata kugonga senks, yaani kamanda hapa hatuondoki mpaka DA atoe jibu au aombe razi jukwaa la MMU kwa kupotosha ukweli.
 
Na ukweli tunaoutaka toka kwa Dena: Ni kwanini analia wivu kwa mama kufua chupi za mwanae ambaye DA ni gelofrendi wake?.....

DA popote ulipo, hela yangu yote itaishia intaneti kefu mpaka urudi hapa utuambie ni kwanini unataka wewe mwenyewe ndo ufue chupi za boifrendi wako ambazo mama mkwe wako anakusaidia kuzifua bila gharama yoyote?....Au we ukizifua huwa hazitakati?...Kuja hapa bana uchukue vidonge vyako tokea famasi na wodini.
 
Back
Top Bottom