Mama kwa Mtoto wa Kiume

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,262
Habari Zenu wote haijalishi ni shikamooo, hujambo, mambo vipi, mzima wewe, nk salamu ni salamu nawasalimu kwa heshima kubwa niliyofundishwa na Wazazi wangu(nieleweke siwasifii wazazi wangu)

Naishi nyumba ya kupanga huku nilipo (Afrika) mwenye nyumba ni Land Lady (Mama Mwenye nyumba), Land Lord (spelling sijui kama ziko sawa maana mie kidhungu noti reachable) alifariki muda kidogo hata mimi sikuwepo wala sikudhani kama nitakuja kuishi nchi hii.

Nieleweke sisemi kwa ubaya hapa kwa hili ila kuna kitu kimeniishangaza sana huyu mama yuko karibu sana na kijana wake wa tatu kuzaliwa mpaka watoto wengine wanaona vibaya kabisa mf. rent na bill zote kama umeme, maji, simu, takataka, ulinzi nk anachukua yeye (kijana), matengenezo ya nyumba yeye na mengine mengi anafanya bila kuwashirikisha ndugu zake, mind you anashirikiana na mama yake tena kwa karibu sana.

My pointi is: Kilichonifanya nilete thread hii hapa ni kuwa nimetoka kazini leo jioni narudi home nakuta Mama anafua nguo za kijana aka mtoto wake wa kiume(yule the best of the best) more than 23 yrs mpaka soksi, ch*** nimestuka nusu nizimie kha iweje??? Usiniulize kwanini kwasababu sitajibu


Sitaki mambo ya umbea lakini nimeshangaa nakujiuliza bila kupata majibu na sikutaka kumuuliza mtu wa karibu ili kutaka kujua mambo ya ndani kwao, naona kama hayanihusu vileeee.

Ila nauliza wanajamii hii ni haki kweli maza anakufulia nguo, soksi mpaka nanihinooooo kweli au kuna kitu kinaendelea hapo zaidiii..................... (I stand to be corrected)

Mie ni mpangaji lakini sijapenda hii tabia.

Usiku mwema woteee nawapenda.......................
 
hakuna lolote baya hapo
ni hisia zako tu...

huyo mama kamdekeza sana tu huyo mwanae...
na huyo mwanae inaonekana ndie anaeaminika kwa majukumu na pesa...

huwezi jua,labda hao wengine hawaaaminiki......na wameshamuangusha mama yao huko nyuma.....

wapo wazazi wa aina hiyo wengi tu....
akipenda mtoto anampenda mno.....
 
hakuna lolote baya hapo
ni hisia zako tu...

huyo mama kamdekeza sana tu huyo mwanae...
na huyo mwanae inaonekana ndie anaeaminika kwa majukumu na pesa...

huwezi jua,labda hao wengine hawaaaminiki......na wameshamuangusha mama yao huko nyuma.....

wapo wazazi wa aina hiyo wengi tu....
akipenda mtoto anampenda mno.....[/
QUOTE]

The Boss kama umenisema mimi vile.............
 
hakuna lolote baya hapo
ni hisia zako tu...

huyo mama kamdekeza sana tu huyo mwanae...
na huyo mwanae inaonekana ndie anaeaminika kwa majukumu na pesa...

huwezi jua,labda hao wengine hawaaaminiki......na wameshamuangusha mama yao huko nyuma.....

wapo wazazi wa aina hiyo wengi tu....
akipenda mtoto anampenda mno.....[/
QUOTE]

The Boss kama umenisema mimi vile.............

wewe unampenda mwanao sana?
au na wewe ulidekezwa mno na wazazi?
 
Anamdekeza tu hakuna kinachoendelea. Unajua mama ni shockabsorber, ndo maana kama umeshachunguza wanaowahudumia wahathirika wa HIV ni kina nani? Je hawafui kila kitu? Mtoto kwa mama hakui, tena akiwa wa kiume hakui kabisaaa. Akitoka kufuliwa na mama anenda kufuliwa na "mama" (a.k.a wife)
 
U kno mambo mengine ynachangany naukichkulia dunia ilivyogeuka juu chini unaweza ukawaweka ktk nchi ya kusadikika! Na si vibaya nawe ukasadik haya mambo ya watu kula kuku na maegg yake yapo hta mtaan kwetu ylishawah tokea bt tuliwatimua mtaani kwetu
 
Nadhani kamdekeza tu. Kuna familia mi naijua wana bint ana 23years yaani kadekezwa mpaka basi tena na wazazi wake wote. Hata baba yake akijipumzisha kitandani naye analala hapohapo,na mamaye yupo mpaka unaweza ona kero. Na hataki suala la yy kufanya kazi zingine tofauti na biashara za wazazi wake.
Usishangae kuna watu wana malezi ya ajabu unaweza shangaa lakini wao wanaona kawaida sana.
 
Inawezekana anamdekeza tu mwanae maana kuna wamama ambao hata kumwambia mwanae aoshe kijiko anaona kama anamuonea vile.Na usishangae kijana akija kuoa mama akageuka mchunguzi wa yanayoendelea kwa mwanae maana haitakua rahisi yeye kuamini mwanae anafanyiwa kila kitu exactly anavyopenda mama.Kuhusu pesa na kazi ni kumuamini.Inawezekana yeye ndo kichwa kuliko wenzake.Kama wangekua na mahusiano mabaya as in kula mayai yake mwenyewe asingekua anafua hata hizo nguo kwa uwazi hivyo...NADHANI!
 
Mi nawapinga wote mnaosema anamdekeza.......khaaaaaa!

Ukweli ni kwamba wanamegana.

Sitajibu swali lolote ntakaloulizwa hapa.....samahani sana.

Sidhani kama angekua muwazi hivyo mpaka kila mtu ajue!Hili sio swali babu kwahiyo nategemea uchambuzi makini unaeleza sababu!
 
labda huyo kijana anajua siri chafu sana ya huyo mama yake so analainishwa kiaina anyamaze.
siamini kama wanagongana
 
Sidhani kama angekua muwazi hivyo mpaka kila mtu ajue!Hili sio swali babu kwahiyo nategemea uchambuzi makini unaeleza sababu!

Wanakuwa wawazi kwa kuwa wanajua wana kinga ya 'umama' na 'umtoto'....take it from me, wanamegana hao, nimeshashuhudia mengi na umri huu.

Narudia tena, sitaki maswali.
 
Labda huyo mtoto baba yake mzazi ndio aliyefariki na hao wengine wanababa yao/zao

Na pia mali kaachiwa huyo mtoto na mama anajigonga

Ila pia ungejua kabla ya huyo mzee kufariki waliishije au zidi angalia

Labda sio mwanae...joking

Umbeya unasaidia at times kujua maisha yakoje etc
 
Wanakuwa wawazi kwa kuwa wanajua wana kinga ya 'umama' na 'umtoto'....take it from me, wanamegana hao, nimeshashuhudia mengi na umri huu.

Narudia tena, sitaki maswali.

Babu usiwe defensive hivyo!Kama unajua kitu tuambie na sie tujue ili siku yakitukuta tusije tukasema "ningejua".Usiwe mchoyo wa maarifa bwana!
 
Back
Top Bottom