Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

Modelator tunaomba hii thread ifutwe au ihamishie kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo.

Mleta mada badala ya kufunguka unaleta blah blah tu.
 
CCM kwa maajabu! Subirini muone.Kama ilivyokuwa kwa spika safari hii wanaweza kuja na hoja "Tunataka sasa M/kiti awe mwanamke ambaye hajamjua mume(BIKIRA) ili kuepusha migogoro UWT ya hawa ambao wamewajua wanaume mmoja au zaidi kwani badala ya kufikiria matatizo ya wanawake wanafikiri matatizo na HUBA za wanaume zao"
 
Kama ingewezekana Nape awasaidie hadi 2015 waone atakavyoendesha uzuri umoja huo!

Sofia Simba kumgwaya Kilango? We unamfahamu Sofia au unamsikia? Kilango hamuwezi kabisa Sofia. Kumbuka alivyombwaga Janeth Kahama pamoja na viji centi vyote vya George Kahama and Family. Wakati ule hata President Membe alikuwa anamsaidia Janeth. Lakini alimbwaga. Sofia Simba na Kilango walikuwa marafiki wakubwa. Kinachoendelea hapa ni kutunishiana misuli na kukomoana. Lakini Matteo yake ni mpasuko Ndani ya CCM.
 
Kwanini Wasimchague Nape tu. Mbona anazo sifa zote!
Kwa CCM kila kitu kinawezekana,ili Anna Kilango amwagwe tusijeshangaa wakaja na uamuzi wa kamati kuu ya kua nafasi ya Mwenyekiti wa UWT awe mwanaume!!.Kwa CCM ilivyo sasa na kuchanganyikiwa sio ajabu ya kushindwa kutofautisha vyoo vya wanawake na wanaume.
 
Anna kilango anasaidiwa na nape ambaye amewatuma makatibu wa ccm na makatibu wenezi nchi nzima wamsaidie kilango. Lakini makatibu hao wengi wameketaa. Hawamuelewi kwani agenda za nape ni kubomoa ccm ili yeye na kundi lake wakijeng chama chao cha ccj.
 
Kicwa cha habari hakijatendewa haki kuhusu kugwaya kwa Simba! Pengine unataarifa nyingine part II kukitendea haki chichwa cha habari.
 
Kama ingewezekana Nape awasaidie hadi 2015 waone atakavyoendesha uzuri umoja huo!

Sofia Simba kumgwaya Kilango? We unamfahamu Sofia au unamsikia? Kilango hamuwezi kabisa Sofia. Kumbuka alivyombwaga Janeth Kahama pamoja na viji centi vyote vya George Kahama and Family. Wakati ule hata President Membe alikuwa anamsaidia Janeth. Lakini alimbwaga. Sofia Simba na Kilango walikuwa marafiki wakubwa. Kinachoendelea hapa ni kutunishiana misuli na kukomoana. Lakini Matteo yake ni mpasuko Ndani ya CCM.
 
Umoja wa wanawake wa CCM sasa umepania kuondoa vivuli wa kisiasa na kuweka wapambanaji wanaoifahamu siasa. Katika harakati hizo inaelekea wanamama hawa hawaambiwi kitu hawaoni wala hawasikii tena la mtu wanamtaka Anna Kilango.

Sasa kumekuwa na kampeni mufilisi za kumchafua Kilango eti anahofia atapoteza jimbo ndo maana anagombea UWT. Hizo ni ndoto za alinacha kwani wanawake wengi wamekiri kuwa jumuiya hii inahitaji majabari kama Kilango ambaye anauwezo wa kuvunjavunja usanii ulioenea nchini
Na wewe ni mwanachama wa umoja uwo???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Umoja wa wanawake wa CCM sasa umepania kuondoa vivuli wa kisiasa na kuweka wapambanaji wanaoifahamu siasa. Katika harakati hizo inaelekea wanamama hawa hawaambiwi kitu hawaoni wala hawasikii tena la mtu wanamtaka Anna Kilango.

Sasa kumekuwa na kampeni mufilisi za kumchafua Kilango eti anahofia atapoteza jimbo ndo maana anagombea UWT. Hizo ni ndoto za alinacha kwani wanawake wengi wamekiri kuwa jumuiya hii inahitaji majabari kama Kilango ambaye anauwezo wa kuvunjavunja usanii ulioenea nchini

Kwa hiyo UMEJIUNGA RASMI TAREHE 10/SEPTEMBA/2012 kwa ajili ya kuitumia JF kumfanyia Mama Kilango kampeni kwa kutumia forum hii???

Ukisema toka mwanzo inakuwa vizuri kwa kuwa tunakuwa tunasoma thread zako tukiwa tumejiandaa kupata habari na majungu ya kampeni zenu za UWT
 
Jamani changieni hoja mbona mnaleta mipasho humu jukwaani! Mambo ya kike hayo.
 
nazani Dk.Telezya Huvisa ndie atakae shinda huo mpambano.
dkt huvisa ameshaenguliwa zamani sana..kamati ya utekelezaji ya UWT imewapitisha sophia simba ana kilango malecela na kabinti kamoja hivi.
nauona ushindi wa kishindo wa mwana ccm mkongwe sophia simba.
 
Kwa hiyo UMEJIUNGA RASMI TAREHE 10/SEPTEMBA/2012 kwa ajili ya kuitumia JF kumfanyia Mama Kilango kampeni kwa kutumia forum hii???

Ukisema toka mwanzo inakuwa vizuri kwa kuwa tunakuwa tunasoma thread zako tukiwa tumejiandaa kupata habari na majungu ya kampeni zenu za UWT
ni watumwa wa mama kilango hao, si unajua mama kilango sasa hivi anafikiria jinsi ya kuingia mjengoni kwa ubwete.
namuunga mkono sophia simba japo mimi ni mwanaume
 
Umoja wa wanawake wa CCM sasa umepania kuondoa vivuli wa kisiasa na kuweka wapambanaji wanaoifahamu siasa. Katika harakati hizo inaelekea wanamama hawa hawaambiwi kitu hawaoni wala hawasikii tena la mtu wanamtaka Anna Kilango.

Sasa kumekuwa na kampeni mufilisi za kumchafua Kilango eti anahofia atapoteza jimbo ndo maana anagombea UWT. Hizo ni ndoto za alinacha kwani wanawake wengi wamekiri kuwa jumuiya hii inahitaji majabari kama Kilango ambaye anauwezo wa kuvunjavunja usanii ulioenea nchini
aibu atakayoipata anne kilango ataomba ardhi ipasuke atumbukie
 
Sofia Simba kumgwaya Kilango? We unamfahamu Sofia au unamsikia? Kilango hamuwezi kabisa Sofia. Kumbuka alivyombwaga Janeth Kahama pamoja na viji centi vyote vya George Kahama and Family. Wakati ule hata President Membe alikuwa anamsaidia Janeth. Lakini alimbwaga. Sofia Simba na Kilango walikuwa marafiki wakubwa. Kinachoendelea hapa ni kutunishiana misuli na kukomoana. Lakini Matteo yake ni mpasuko Ndani ya CCM.
siuoni mpasuko ndani ya ccm, nauona mpasuko wa siasa za anne kilango aliyepoteza dira na mwelekeo kabisa. tabia yake ya kutaka kujaribu kila kitu sasa naona imekaribia kufika tamati, mana vya sasa havijaribiki. ameyaingia maji marefu.
siasa za wanawake wa ccm sophia simba ndio anayeziweza, hao wengine wote bla bla.
 
Inabidi tukiwa chimwaga tumjadili nape anaweza kuchukuwa nafasi ya sofia simba kwa usitadi mkubwa!
 
Back
Top Bottom