Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

Umoja wa wanawake wa CCM sasa umepania kuondoa vivuli wa kisiasa na kuweka wapambanaji wanaoifahamu siasa. Katika harakati hizo inaelekea wanamama hawa hawaambiwi kitu hawaoni wala hawasikii tena la mtu wanamtaka Anna Kilango.

Sasa kumekuwa na kampeni mufilisi za kumchafua Kilango eti anahofia atapoteza jimbo ndo maana anagombea UWT. Hizo ni ndoto za alinacha kwani wanawake wengi wamekiri kuwa jumuiya hii inahitaji majabari kama Kilango ambaye anauwezo wa kuvunjavunja usanii ulioenea nchini
 
muda mwingine inabidi binadamu afiche tu upumbavu wake maana anapokurupuka mbele ya umati matokeo yake huwa mabaya sana
 
Kazi imeanza naona siku hizi bila kampeni kupitia JF mambo hayaendi
 
Sophia Simba si awamu yake imeisha au anataka aibu kama iliyompata Msekwa kwenye kinyanganyiro cha Uspika.
 
Bila JF siasa za nchi hii hazijakamilika! Nadhani kila mtu akitaka mambo yake ya siasa yanyooke anatafuta wapambe JF. Muda si muda tutaona thread ya Sofia Simba.

Kama tulizoziona za UVCCM. Kwa tulio sasa hivi Dodoma tunaangalia tu sinema
 
"Nawataka akina mama wote muwanyime unyumba waume zenu wanaoshabikia upinzani!" - Sofia Simba
 
I count CCM as rotten eggs, I dont want to waste my time to choose which are atleast good! why dont I go for fresh ones?(CDM)??
 
Kama ingewezekana Nape awasaidie hadi 2015 waone atakavyoendesha uzuri umoja huo!
 
Back
Top Bottom