Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,499
- 11,595
Hii nayo ni aina nyingine ya UTAPELI wa enzi na enzi, eti ukifa unaenda kuchomwa moto ambao unateseka tu lakini huteketei🤣
Wakoloni wa kizungu na kiarabu walijua kutuweza!
Mtu ukishakùfa ndio imeisha hiyo, ni kama anavyokufa mbuzi au kiumbe mwingine yeyote.....hakuna cha peponi wala motoni