The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,221
- 6,355
Pakoje mkuu kwa kutumegea ubuyu kidogoUnaelewa Nini kuhusu hicho unafikiri wanafanya kama unavyo jua mkuu jibu ni hapana huko hakupo kama unavyo jua
Pakoje mkuu kwa kutumegea ubuyu kidogoUnaelewa Nini kuhusu hicho unafikiri wanafanya kama unavyo jua mkuu jibu ni hapana huko hakupo kama unavyo jua
Kutoa Siri sio kitu kizuri hata kidogoPakoje mkuu kwa kutumegea ubuyu kidogo
freemason hawa hawa wanaoshindwa kulipa hata kodi ya pango kule kenya ama wengine?Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake.
Nani alaiwe kwa hiki anacho KIFANYA mama KANUMBA? Nime hisi TU labda mama baada ya kuona wamemkaushia akaona ajiongeze liwake jua inyeshe mvua mkono uende kinywani, tunaeA mlaumu bure kumbe Hana namna mama wa watu.
View attachment 3523758
Are you a travelling man?Kutoa Siri sio kitu kizuri hata kidogo
NdioAre you a travelling man?
Freemason kavaaa miwani ya chino kidd😂😂😂🙌Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake.
Nani alaiwe kwa hiki anacho KIFANYA mama KANUMBA? Nime hisi TU labda mama baada ya kuona wamemkaushia akaona ajiongeze liwake jua inyeshe mvua mkono uende kinywani, tunaeA mlaumu bure kumbe Hana namna mama wa watu.
View attachment 3523758
huu ni utapeli, hakuna cha ufreemason wala nini hapa, labda wanaigiza muvi. Hakunaga freemason wa kindezi namna hii, freemason wote ni elite upstairKaka sijakuelewa, mana picha inasema yote huyo tajiri chui ni TAPELI anadaai yeye ni free mason, na anaunganisha vijana hata we ukitaka unaenda kufungwa sa we na akili timamu unaeza enda kufungwa na huyo dogo? Sasa Ina maana mama KANUMBA ye hajui hio michezo kaka
Kajiuza?rudia tena amejiuzaje mbina inashtua sanaHuyo mama kajiuza hapo dar mpaka kadoda
How old is your grandmother?Ndio
😃😀😀How old is your grandmother?
Tajiri chui kaanza kuigiza movie lini? Unamjua mkuu?huu ni utapeli, hakuna cha ufreemason wala nini hapa, labda wanaigiza muvi. Hakunaga freemason wa kindezi namna hii, freemason wote ni elite upstair