Love Candy
Member
- Jul 16, 2015
- 90
- 14
yupi alietajwa na dr. slaa?
Mama Pombe Magufuli ktk ziara zake za kuongeza ushindi ushindi kwa Mh Magufuli, amewahakikishia wanawake Chato kuwa serikali ijayo itahakikisha inaboresha miundo mbinu ua afya, hivo akina mama wazawajito, wazee na watoto watapata huduma stahiki kwawakati swala litakalopunguza vifo visivyokuwa vya lazima.
Aidha mama kasisitiza pia wanawake watapewa kipaumbele zaidi katika kupata mikopo yenye riba nafuu, pia vikundi mbalimabi vya kina mama vitawezeshwa ktk kuhakikisha mwanamke amekuwa mstari wa mbele ktk kuleta maendeleo ya familia.
HONGERA SANA MAMA YETU ,WATANZANIA WANAKUTAKIA KILARAHELI KTK SHUGHULI ZA UJENZI WA TAIFA.
MAGUFULI NI KAZI TU.
safi sana... apite na Barrick Gold pale akaongee naoMama Pombe Magufuli ktk ziara zake za kuongeza ushindi ushindi kwa Mh Magufuli, amewahakikishia wanawake Chato kuwa serikali ijayo itahakikisha inaboresha miundo mbinu ua afya, hivo akina mama wazawajito, wazee na watoto watapata huduma stahiki kwawakati swala litakalopunguza vifo visivyokuwa vya lazima.
Aidha mama kasisitiza pia wanawake watapewa kipaumbele zaidi katika kupata mikopo yenye riba nafuu, pia vikundi mbalimabi vya kina mama vitawezeshwa ktk kuhakikisha mwanamke amekuwa mstari wa mbele ktk kuleta maendeleo ya familia.
HONGERA SANA MAMA YETU ,WATANZANIA WANAKUTAKIA KILARAHELI KTK SHUGHULI ZA UJENZI WA TAIFA.
MAGUFULI NI KAZI TU.
Ndugu,Ni kazi gani slogan yenu mpya inachekesha sana
Mama Magufuli tunatambua mchango wako,kweli CCM ni mbele kwa mbele.
Wanawake wote Tanzania wanakuunga mkono.Hakika mtapata ushindi wa kishindo.