Mama John Pombe azungumza na wanawake wa Chato

Mama John Pombe azungumza na wanawake wa Chato

Asubuhi mlisema yupo kazini anafundisha hapo DSM sasa tunaambiwa yupo Chato mbona maCCM waongo hivi?
 
Mama tunatambua mchango wako ktk ujenzi wa taifa letu.
 
WAPI DOKTA LUKANIMA CHOMAAAAAA HUYO MAMA ANADANGANYA WATU CHOMA KABISAAAa
 
Mpaka tumseme ndio anakumbuka! namashaka na mnatoa taarifa! za uongo... wekeni picha basii ...
 
Anadhani mumewe bado anagombea ubunge huko chato?
 
Leteni picha huo ni uongo mkubwa.... Mama Magufuli ana bifu kubwa sana na mume wake
 
Ni kazi gani slogan yenu mpya inachekesha sana

Wanahamasishana waibe zaidi hao.Main song yao ya kampeni inasema "CCM ILE ILE" which means haitobadilika kamwe.
 
mama pombe magufuli katika ziara zake za kuongeza ushindi ushindi kwa mh magufuli, amewahakikishia wanawake chato kuwa serikali ijayo itahakikisha inaboresha miundo mbinu ya afya, hivyo akina mama wazawajito, wazee na watoto watapata huduma stahiki kwa wakati suala litakalopunguza vifo visivyokuwa vya lazima.

Aidha mama kasisitiza pia wanawake watapewa kipaumbele zaidi katika kupata mikopo yenye riba nafuu, pia vikundi mbalimabi vya kina mama vitawezeshwa katika kuhakikisha mwanamke amekuwa mstari wa mbele katika kuleta maendeleo ya familia.

Hongera sana mama yetu, watanzania wanakutakia kila lakheri katika shughuli za ujenzi wa taifa.

Magufuli ni kazi tu.

kazi ipi? Ya kuokota makopo? Watu hawana ajira yeye anasema kazi tu,
 
Back
Top Bottom