Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
Huyu Labda Ni Mke wa Rais wa CCM Lakini Watz Wanajua First Lady Mtarajiwa Ni Regina Lowassa.
huyu labda ni mke wa rais wa ccm lakini watz wanajua first lady mtarajiwa ni regina lowassa.
mama john pombe azungumza na wanawake wa chato.
Mama pombe magufuli ktk ziara zake za kuongeza ushindi ushindi kwa mh magufuli, amewahakikishia wanawake chato kuwa serikali ijayo itahakikisha inaboresha miundo mbinu ua afya, hivo akina mama wajawazito, wazee na watoto watapata huduma stahiki kwawakati swala litakalopunguza vifo visivyokuwa vya lazima.
Aidha mama kasisitiza pia wanawake watapewa kipaumbele zaidi katika kupata mikopo yenye riba nafuu, pia vikundi mbalimabi vya kina mama vitawezeshwa ktk kuhakikisha mwanamke amekuwa mstari wa mbele ktk kuleta maendeleo ya familia.
Hongera sana mama yetu ,watanzania wanakutakia kilaraheli ktk shughuli za ujenzi wa taifa.
Magufuli ni kazi tu.
kaongelea wapi huyu first lady?
View attachment 283994
Hakika huyu ndiye tunayemtambua. Huyo mwingine hakujiandaa kama ambavyo magufuli hakujiandaa. Kila mtu hata Rais aliyepo sasa anajua.Kaongelea wapi huyu First lady?
View attachment 283994
Kaongelea wapi huyu First lady?
View attachment 283994