Mama Pombe Magufuli katika ziara zake za kuongeza ushindi ushindi kwa Mh Magufuli, amewahakikishia wanawake Chato kuwa serikali ijayo itahakikisha inaboresha miundo mbinu ya afya, hivyo akina mama wazawajito, wazee na watoto watapata huduma stahiki kwa wakati suala litakalopunguza vifo visivyokuwa vya lazima.
Aidha mama kasisitiza pia wanawake watapewa kipaumbele zaidi katika kupata mikopo yenye riba nafuu, pia vikundi mbalimabi vya kina mama vitawezeshwa katika kuhakikisha mwanamke amekuwa mstari wa mbele katika kuleta maendeleo ya familia.
HONGERA SANA MAMA YETU, WATANZANIA WANAKUTAKIA KILA LAKHERI KATIKA SHUGHULI ZA UJENZI WA TAIFA.
MAGUFULI NI KAZI TU.