Hili nalo neno.
swissme
Family support ni muhimu na inaonyesha the other side y rais wenu!!! Hii ilikua ni siku muhimu kwa Magufuli, kama mke ana udhuru basi mtoto au mama cyo mbaya!!! Pinda na familia yake, hadi mama mkapa leo kaenda,mume wa tulia,mke wa majaliwa,mama salma,mke wa karume nk!! Hii hailet picha nzur kwa first lady!!!!

Sidhani hapa Tanzania kama kuna mjinga zaidi ya Mbowe.
Huyo mama atakuwa anaishi Maisha magumu sana, kama kwenye public ni hivi huko ndani je
Samahani lakini. Jinsi ulivyo na chuki na Mbowe kiasi kuwa hata kama watu wanazungumzia jambo lisilomuhusu inanifikirisha sana. Kama Mbowe angekuwa anatokea maeneo ya Mombasa ningeamini kabisa aliwahi kukushikisha ukuta na akakurusha malipo.
Lakini yeye sio wa aina hiyo jee chuki ya nini dada Hamida? Au shemeji kesha kujaza na embe mbichi hazipatikani ndio chanzo cha hasira?
Acha nikuagizie gunia kabisa toka Sikonge
Kwani ana kichanga??? Hujaona pinda kachukua mpk watoto???
Dada Hamida kifua kizima kimemjaaa mbowe. Usisahau kumwagizia na gunia la ndimu...tehe tehe tehe
Tulimchagua magufuli nasi mke wake au familia yake
Samahani lakini. Jinsi ulivyo na chuki na Mbowe kiasi kuwa hata kama watu wanazungumzia jambo lisilomuhusu inanifikirisha sana. Kama Mbowe angekuwa anatokea maeneo ya Mombasa ningeamini kabisa aliwahi kukushikisha ukuta na akakurusha malipo.
Lakini yeye sio wa aina hiyo jee chuki ya nini dada Hamida? Au shemeji kesha kujaza na embe mbichi hazipatikani ndio chanzo cha hasira?
Acha nikuagizie gunia kabisa toka Sikonge
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.
Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)