Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,191
Itafahamika tu....Kebby na Sundi wamechukua nafasi ya Jah Net.
Family support ni muhimu na inaonyesha the other side y rais wenu!!! Hii ilikua ni siku muhimu kwa Magufuli, kama mke ana udhuru basi mtoto au mama cyo mbaya!!! Pinda na familia yake, hadi mama mkapa leo kaenda,mume wa tulia,mke wa majaliwa,mama salma,mke wa karume nk!! Hii hailet picha nzur kwa first lady!!!!
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.
Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Kachoka kufanya maigizo ya mke wakati hali halisi anaijua mwenyewe. Hayo mambo kawaachia wenyewe
Usijitoe ufahamu bwana. Hili suala sio la CCM wala UKAWA. Kama hakuwepo imekaaje?
Hebu punguza jazba.
Tangu lini first lady anabaki kwake na kumuacha mwenza wake mwenyewe kwenye tukio la kitaifa?
Mshua wa magu mbona alishavuta muda mrefu??Tokea Kampeni Zianze Mama Wa Watu Muda Mwingi Alikuwa Anamuuguza Baba Mkwe Wake ( Mshua Wake Magu ) Ambaye Ni Mgonjwa Sana Na Tuzidi Kumwombea Tu Afya Njema Mzee Wetu Huyo Apone Haraka Ili Aweze Angalau Kufaidi Maisha Ya Kuwa Na Mtoto Wake Huyo Ambaye Ndiyo Mkuu Wetu Wa Kaya Sasa.
Povu limezidi la gongoNinaamini kabisa kuwa mnafanya jambo hili kwa sababu ya mazoea, tumezoezwa kuwaona first ladies hata kwenye matukio ya kiserikali yasiyowahusu.
Hakuna sheria wala protokali iliyompasa mke wa rais kuhudhuria tukio hili. Halimuhusu kabisa. Ninawapinga wote wanaosema hili ni tukio muhimu kwa JPM alilopaswa awepo. La hasha, lile halikuwa tukio la JPM k.v. kuapishwa kuwa rais n.k.
Na sio jambo la kushangaza kwa JPM kusafiri kikazi Dodoma pasipo kuwa na mkewe. Hata kina Mbowe, Tundu Lisu etc hawakwenda na wake zao. Na ukweli ni kwamba hata JK kuna baadhi ya mtukio ya aina hii hakuwa na mama salma.
Jambo jingine la msingi ni maswala ya ndoa. First Lady ni mke wa Bwana Magufuli tu. Sio mke wangu au wako..na wala sio shemeji yetu na hatuna naye haki ya ndoa wala uhusiano wa kijamii.
Maisha yao ya ndoa ni yao binafsi, hayatuhusu isipokiwa tu pale ambapo litatokea jambo lenye kuhatarisha usalama wa taifa.
Kuwa na ndoa au kutokuwa nayo sio kigezo cha kuwa kiongozi bora. Nitawapa mfano wa ufaransa ambayo walishakuwa na rais aliyetalikiwa na mwingine akiwa bachelor kabisaaa. Na hiyo haihusu.
Na hata swala la michepuko, hilo nalo halihusu hata kidogo.
Waachieni Mama Janeth na JPM ndoa yao. Nyie hangaikeni na za kwenu.
Naambiwa hata babayako anapigishwa mzungu wa 4 kilazima! Ya kweli hayo maneno?
Hamida kumbe unadhani Chakaza ni binti mwenzio? Hilo ni dume tena la mbegu, kama unahitaji mbegu tuwasiliane tuuBinti Chakaza,
Kwani nimekosea kumuita Mbowe mjinga nambari wani Tanzania? Mbona nipo sahihi. Huoni jinsi anavyo inajisi CHADEMA na kukifanya kiwe chama cha hovyo? Dr Slaa ameweka nguvu kubwa kukijenga CDM lakini kwa tamaa ya pesa ya ufisadi Mbowe anakiua CDM.
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.
Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
jamaa alifuta kitengo cha chakula pale ikulu na kusema mambo ya chakula atashughulikia mke wangu janeti ndo atajua nakula nini na ataanda yeye..so huenda yuko jikoni
Hamida kumbe unadhani Chakaza ni binti mwenzio? Hilo ni dume tena la mbegu, kama unahitaji mbegu tuwasiliane tuu
Huwezi kutofautisha hata jambo dogo kama hilo? CHAKAZA na CHAKAZWA? Umeambiwa mie ni CHAKAZA.Hivi 'Chakazwa' uliota kuwa Hamy-D ni binti mwenzio!? Huyo ni rijali haswaa...ukitaka kuinamishwa njoo PM.