Mama Janeth Magufuli, ulikuwa wapi leo?

Mama Janeth Magufuli, ulikuwa wapi leo?

Kazi tu anafundisha kama walimu wengne!!mnataka watoto wenu wakacheze shulen kisa mwl yupo bungeni!!!
 
Yuko bize ikulu akimwandalia mumewe msosi
 
Kachoka kufanya maigizo ya mke wakati hali halisi anaijua mwenyewe. Hayo mambo kawaachia wenyewe
 
Usijitoe ufahamu bwana. Hili suala sio la CCM wala UKAWA. Kama hakuwepo imekaaje?

Mimi najikita kwenye mambo mazito ya nchi. Tuna changamoto nyingi nchini. Sasa siwezi kuwa sawasawa na nyinyi wendawazimu na wanywa viroba ambao kazi yenu ni kujadili vitu vidogo vidogo na visivyo na tija kwa taifa.

Endeleeni kujadili kuhusu mke wa rais...mimi na wenye akili wenzangu tunajadili changamoto za nchi na namna ya kuzitatua. Ndio maana wananchi wanatupa ridhaa ya kuongoza nchi.
 
Ile spidi ya ukawa waliotokea bungen leo kwa kweli ni hataree,sijaona kabisaaaaa
 
Sidhani hapa Tanzania kama kuna mjinga zaidi ya Mbowe.

Ile spidi ya ukawa waliotokea bungen leo kwa kweli ni hataree,sijaona kabisaaaaa

HALAFU WANASEMA CHAMA KINA MWANASHERIA SIJUI
KAZI YAKE NINI, AKILI ZA KUSHIKIWA MBAYA SANA
ALAFU BADO NA DOLI LAO KAMA POWER BANK, KAMA
NDIO MLIO TUMWA NA WANANCHI WENU HAYO
ENDELEENI, hawa jamaa wa cdm sio wastaharabu hata
kidogo ni
wahuni sijui nani anaendekeza huu upuuzi wao naona
kama wanawalealea sana, znz tume bado haijatangaza
raisi ni nani maana yake bado raisi ni yule yule
aliyekuwepo madarakani ss hapo kipi kigumu kuelewa,
mambo mengine si yakukariri ni ya kuelewa jamani
 
mzee tupatupa mbona unatutia mashaka au umri umekuwa mkubwa zaidi umerudi utotoni...
magufuli siku yake muhimu ilikuwa ni ya kuapishwa..baada ya hapo kazi tu.

anatufundisha kuwa masuala ya umma familia haipaswi kuhusishwa sana kwani watanzania walimchagua yeye sio familia yake.

hayo ndio mabadiliko tunayoyataka...hata nyerere hakuambatana na mama maria sehemu zote za kazi.
 
HALAFU WANASEMA CHAMA KINA MWANASHERIA SIJUI
KAZI YAKE NINI, AKILI ZA KUSHIKIWA MBAYA SANA
ALAFU BADO NA DOLI LAO KAMA POWER BANK, KAMA
NDIO MLIO TUMWA NA WANANCHI WENU HAYO
ENDELEENI, hawa jamaa wa cdm sio wastaharabu hata
kidogo ni
wahuni sijui nani anaendekeza huu upuuzi wao naona
kama wanawalealea sana, znz tume bado haijatangaza
raisi ni nani maana yake bado raisi ni yule yule
aliyekuwepo madarakani ss hapo kipi kigumu kuelewa,
mambo mengine si yakukariri ni ya kuelewa jamani

Wajinga wale,mazombi na malofa,wanatafuta kiki!Sheria wabaijua na ndio maana uliona walitoka fasta nje baada ya spika kuhesabu!na walipaniwa leo,wangekaidi tu saa hizi wangekuwa hospitali ya rufaa dom!
 
Mimi najikita kwenye mambo mazito ya nchi. Tuna changamoto nyingi nchini. Sasa siwezi kuwa sawasawa na nyinyi wendawazimu na wanywa viroba ambao kazi yenu ni kujadili vitu vidogo vidogo na visivyo na tija kwa taifa.

Endeleeni kujadili kuhusu mke wa rais...mimi na wenye akili wenzangu tunajadili changamoto za nchi na namna ya kuzitatua. Ndio maana wananchi wanatupa ridhaa ya kuongoza nchi.

Hamy, nakumbuka 2010 Dr Slaa alihojiwa sana kuhusu mwenza wake. Hii hoja is not applicable now?
 
Back
Top Bottom