maneno mazito sana hawa. Mkuu mzalendo15 unajua kwa wengine kushika Biblia au Koran kuapa ni kitu kikubwa na kinamaanisha kuapa kweli!
Namfananisha magufuli na nyerere.hata watoto wake sijawaona hapa leo.angekuwa mtani wangu jakaya leo msoga yote ingehamia dodoma.
Kwa hiyo Mwl Nyerere angelala juu ya mti siku ya kuhutubia bunge ingemlazimu na Pombe naye leo alale juu ya mti kama Nyerere?
Hii ndoa ya Pombe mmeshindwa kuisuluhisha kulinda sura ya kijamii ya Pombe mbele ya wananchi?
Kwani ana kichanga??? Hujaona pinda kachukua mpk watoto???
Is there something wrong between the two which we are not aware of? Or is it just her way of avoiding public eyes/attention? It's a bit unusual tho
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.
Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Ulipaswa uwepo hapa Dodoma. Wewe sasa ni First Lady.Leo ilikuwa siku muhimu kwa Rais na kwako. Wakati wa kampeni ilikuwa sawa kutoambatana na Mh. Rais. Si wakati huu.
Ingependeza ungeambatana na Rais Magufuli kama wengine walivyofanya. Ulikuwa wapi? Yawezekana wanafunzi wako walikutinga leo? Nimekuulizia tu Mama!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Kwani ana kichanga??? Hujaona pinda kachukua mpk watoto???
Huyo mama atakuwa anaishi Maisha magumu sana, kama kwenye public ni hivi huko ndani je