Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

Nahisi kama vile nyoka anashawishiwa ili amshawishi mwanamke aende akamshawishi mumewe ale tunda la mti wa kati.
 
Tulistaafu kwa Mujib wa sheria lakini Serkali haitambui Kabisa sheria I hasa Kama zinahusu maslahi ya wanyonge mpaka watu tunajiuliza ni wanyonge gani inadai inawajali? Mwenzetu unalipwa laki lakini tupo wengi ikiwa ni pamoja na Jumuiya hatikulipwa hata senti
 
Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
siyo kwa huyu mzee. Alisha wahi kusema hata kama nimke wake sukukuma ndani
 
Mama tayari kajenga Uwanja wa kisasa wa mpira Wilayani Misungwi. Mama hajazubaa anafanya mambo bila kelele. Mambo yake Mengi anayapitishia kwa RC Mnyeti kimyakimy. Mama yupo sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…