thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,116
Id imejiunga July 2019 ndio maana,iko kwa kazi maalum,japo wewe ni mkongwe hapa jukwaani.Huyu mama ana siri nyingi moyoni mwake, kushare mume na mdogo wako sio kitu kirahisi
anakwama sana aisee yaan anataka atoke kama alivyoingia?Eti kashindwa kabisa kuanzisha WAMA yake,hopeless,mlivyopiga zile mlitegemea na huyu mtapiga?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kama mzee anataka hizo mambo...hivi kashindwa kabsa kuanzisha WAMA yake huyu mama?
Angekaa na salima mwalimu mwenzake ampe maujanja
Ayi! Ayi! Ayi! Mumefika huko? Kwani kalalamika? Hiyo si in heshima kwa ukoo aliotokea kwamba wako bomba!Huyu mama ana siri nyingi moyoni mwake, kushare mume na mdogo wako sio kitu kirahisi
Acha utani basiuyu mama alifaa awe rais
Mtoto wa Police Sgt. Kazakiwa kambini. Heshima mtindo mmoja
Ohooooo !!!!Huyu mama ana siri nyingi moyoni mwake, kushare mume na mdogo wako sio kitu kirahisi
Mama yetu ni mcha Mungu, sio mtu wa anasa na tamaa za kishetani.Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Akikupa kichwa chake kwa yanayomkuta wewe utakunywa sumuHivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Amekulia kwenye makamba ya polisi, baba yake alikuwa askari polisi wa cheo vya nchini kama ujuavyo watoto wa makambini enzo hizo miaka ya 60&70.She is very bright
Na anezaliwa na kukulia mjini Dar es salama na wala hajionyeshi km mtoto wa mjini
Ingekuwa dunganyembe lingine limeolewa na jpm na limekulia hapa mjini
Tungeona kila rangi ikulu
Kwamba mlifanya kazi kwa bidii na 'hamkuhujumu' taifa lakini mnaishi kwa shida, mbona Ulaya pia kuna wazee waliofanya kazi kwa uaminifu na bidii lakini wanafurahia pensheni zao!?Mama Janeth; unawapenda wazee na wasiojiweza hongera sana, humo kuna siri kubwa ya baraka na mafanikio, Baba ana kazi nyingi za kulikwamua Taifa anaweza asiyakumbuke yote. anao mawaziri wanaomsaidia lakini nao hawawezi kuyakumbuka yote. anapokuwa amepumzika mkumbushe hili
wazee ambao tumetumika kujenga Taifa hili tena wakati ule wa hali ngumu tulikuwa wazalendo hatukuhujumu wala kuiba, hatukuweka akiba na Mungu ametupa kibali bado tunaishi.
Tumestaafu kwa mujibu, lakini wengi wetu tulimaliza utumishi kwa kiwango kidogo cha mshahara na pensheni tunayolipwa ni ndogo sana, mfano laki moja kwa mwezi haitoshi maisha yamebadilika sana.
cha msingi tembeeni vifua mberee
Angekuwa bright mpaka leo asingekuwa anafundisha primary wenzake alisema nao mwalimu wamejiendeleza kimasomo wengine waratibu wa elimu wengine anafundisha secondary wamefanya mitihani na kujisomeaShe is very bright
Na anezaliwa na kukulia mjini Dar es salama na wala hajionyeshi km mtoto wa mjini
Ingekuwa dunganyembe lingine limeolewa na jpm na limekulia hapa mjini
Tungeona kila rangi ikulu
Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Labda kumuombea Kabula awaombeeMwambieni mumewe, mnamuogopa? Ila nawahakikishieni. Mkitaka Janet awaombee kwa Magufuli hamtafanikiwa kamwe, huo ndio ukweli. Changanyeni akili zenu za kustaafu na za kuambiwa.
Id imejiunga July 2019 ndio maana,iko kwa kazi maalum,japo wewe ni mkongwe hapa jukwaani.
Hivi tunu ni vocha tu mpunga wote ule?,ningekua mimi sikubali
Huyu mama kwa unyenyekevu na upole wake anafanana sana na Mama Maria Nyerere. Hana makuu kabisa our First Lady.Mama Janeth; unawapenda wazee na wasiojiweza hongera sana, humo kuna siri kubwa ya baraka na mafanikio, Baba ana kazi nyingi za kulikwamua Taifa anaweza asiyakumbuke yote. anao mawaziri wanaomsaidia lakini nao hawawezi kuyakumbuka yote. anapokuwa amepumzika mkumbushe hili
wazee ambao tumetumika kujenga Taifa hili tena wakati ule wa hali ngumu tulikuwa wazalendo hatukuhujumu wala kuiba, hatukuweka akiba na Mungu ametupa kibali bado tunaishi.
Tumestaafu kwa mujibu, lakini wengi wetu tulimaliza utumishi kwa kiwango kidogo cha mshahara na pensheni tunayolipwa ni ndogo sana, mfano laki moja kwa mwezi haitoshi maisha yamebadilika sana.
Mama janeth first lady mwenye heshima zake
Hongera mama