Mama Janet Magufuli akiwa na wake wa marais wa SADC

Sijajua hii ni habari, taarifa au hoja.
 
Moja ya vitu ambavyo my Rais anabahati ni kuwa na mke Bora.Huyu mama ni zaidi ya Urais.
Mama yetu amejaa upendo moyoni wake, tabasamu halikauki usoni mwake, nuru ya unyenyekevu na ucha Mungu imeinua hadhi na heshima yake.
Hua nnachukia sana nikikuta mada za kijingakijinga zikijadiliwa humu dhidi ya huyu mama yetu kipenzi.
Upendo wa Bwana uwe nae daima.
 
Jamani mnaomponda huyu mama hebu tupieni basi picha za mama zenu waliowazaa tuwaone.
Sure maana watu hawakosi Cha kukosoa ilimradi tu kusema mabaya

Sometimes inakua kero kutafutiza weakness au kupiga majungu
 
Dogo King Mswati wa Swatin anawashinda viongozi wote wa africa kuwa na mademu wakali Africa nzima. halafu ni kiongozi wa siku nyingi.
Jamaa limetengeneza vitoto vyake vya kike vizuri hivo, mpaka roho inauma vinapenda mijemba watanzania kinoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…