Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 3,884
- 3,805
Never on earthHalima Mdee nimemuona hapo.
Never on earthHalima Mdee nimemuona hapo.
Mzee kamaliza yote, bado nini!Huyu mama simsikii kwenye habari za vicoba, saccos, benki za wanawake, au kwenye harakati zozote za kike kama mwenzie aliyepita.
Kifupi sio mtu wa dili za hapa na pale.
Wakitupia najipiga risasiJamani mnaomponda huyu mama hebu tupieni basi picha za mama zenu waliowazaa tuwaone.
Sijajua hii ni habari, taarifa au hoja.Mke wa Mwenyekiti wa SADC Mama Janeth Magufuli akiongozana na mke wa Rais wa Namibia Mama Monica Geingos (Kushoto) Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe (wa pili kulia) na Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini (Kulia) wakati alipowatembeza Wake hao wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC 2019, Kujionea Nyumba za Kiasili kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam Jana Jumamosi Agosti 17, 2019.
View attachment 1184374
Hata huyu ni chuma sana sema utata na ulalamishi wa jamaa vinamfanya afubae.Aah mama Salma mbona mkali
Mama yetu amejaa upendo moyoni wake, tabasamu halikauki usoni mwake, nuru ya unyenyekevu na ucha Mungu imeinua hadhi na heshima yake.Moja ya vitu ambavyo my Rais anabahati ni kuwa na mke Bora.Huyu mama ni zaidi ya Urais.
Kwan wakat wa uchumba walijua kuwa watakuwa marais??Wake wa marais wako very simple na siyo wazuri wa sura na shape kihivyo..
Ha ha ha ha hawakosi Cha kukosoa wasipo ona Cha kukosoa wana amua kukupiga hata majungu tu ilimradi tu waseme dahWatu wa humu dah hatari sana aise!
Sure maana watu hawakosi Cha kukosoa ilimradi tu kusema mabayaJamani mnaomponda huyu mama hebu tupieni basi picha za mama zenu waliowazaa tuwaone.
Word.Jamani mnaomponda huyu mama hebu tupieni basi picha za mama zenu waliowazaa tuwaone.
Kumbuka ni Mwalimu
Thubutu jiwe unamjua unamsikia?Huyu mama simsikii kwenye habari za vicoba, saccos, benki za wanawake, au kwenye harakati zozote za kike kama mwenzie aliyepita.
Kifupi sio mtu wa dili za hapa na pale.
Hata huyu anaweza akajiongeza kwani atakatazwa? Shauri lake