Mama Janet Magufuli akiwa na wake wa marais wa SADC

Teh muangalie huyo mke wa waziri mkuu sijui wa kwa Mswati wa mwisho kulia,kuna hidden features zimejificha sio kila mtu anapenda shape na sura ,Wengine tunapenda maji ndio maana magodoro yetu yana nailon

πŸ’πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™
 
Mke wa Mwenyekiti wa SADC Mama Janeth Magufuli akiongozana na mke wa Rais wa Namibia Mama Monica Geingos (Kushoto) Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe (wa pili kulia) na Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini (Kulia) wakati alipowatembeza Wake hao wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC 2019, Kujionea Nyumba za Kiasili kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam Jana Jumamosi Agosti 17, 2019.

View attachment 1184374

Kuna Kitu Kinanikereketa nataka Kukisema kumuhusu Mama Namba Moja wa sasa Tanzania lakini Roho yangu inakataa kabisa.
 
Wabongo mmenishinda tabia khaaah...!
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
One of the best decisions JPM ever done ni kumuoa Janeth! After Maria Nyerere ni Janeth ....
 
Mke wa Mwenyekiti wa SADC Mama Janeth Magufuli akiongozana na mke wa Rais wa Namibia Mama Monica Geingos (Kushoto) Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe (wa pili kulia) na Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini (Kulia) wakati alipowatembeza Wake hao wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC 2019, Kujionea Nyumba za Kiasili kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam Jana Jumamosi Agosti 17, 2019.

View attachment 1184374
Hivi anaongea nao lugha gani maana nadhani yeye ni form 4 graduand ndio akaenda ualimu.... div 4... most likely ukichukulia na lugha ya malkia ilivyo shida kwa watanzania wengi including me! Labda na wenyewe ndio hao hao!
 
Back
Top Bottom