Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,167
- 10,885
Kumbuka, mumewe pia mwalimu.Kumbuka ni Mwalimu
Kumbuka, mumewe pia mwalimu.Kumbuka ni Mwalimu
Haha..safi kabisa...watu wanaongea tu utafikiri wao wamezaliwa na malaikaJamani mnaomponda huyu mama hebu tupieni basi picha za mama zenu waliowazaa tuwaone.
Sio mwenzie sema wenzie waliopita, wa 3 na 4.Huyu mama simsikii kwenye habari za vicoba, saccos, benki za wanawake, au kwenye harakati zozote za kike kama mwenzie aliyepita.
Kifupi sio mtu wa dili za hapa na pale.
Mama Wa kienyeji sana ,,daah
Daa we jamaa umenikumbusha kweli yule mama mwanzo alikuwa na shingo ndefu yenye mistali, baadaye shingo ikajaa mistari ikapotea kabisa na akaanza kujifunika ushungi.Zili zilikuwa dili zake tu we siunaona hadi shingo ikatitia kabisa ile mistari tukawa hatuioni tena.
Mbona mumewe nae mwalimu ila broken tupu
Hapo ndipo tunakwama kwa kutukuza mambo ya wizi kwa kupitia kivuli cha ujanja.. Sasa kuibia wananchi na kujinufaisha kwa kupitia dhamana na vyeo ni ujanja au ni ujinga unaosababishwa na ubinafsi na kukosa uzalendo? Kwahiyo Nyerere na mkewe hawakuwa wajanja kwa mujibu wako ehh?Hata huyu anaweza akajiongeza kwani atakatazwa? Shauri lake
Kumbe huyu mama mnazi wa yanga....Mke wa Mwenyekiti wa SADC Mama Janeth Magufuli akiongozana na mke wa Rais wa Namibia Mama Monica Geingos (Kushoto) Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe (wa pili kulia) na Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini (Kulia) wakati alipowatembeza Wake hao wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC 2019, Kujionea Nyumba za Kiasili kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam Jana Jumamosi Agosti 17, 2019.
View attachment 1184374
Sio kwa mia mbaya, ila Kila mmoja kwenye picha anaona chake.
Macho yangu yameona hivi....
Mama J P M amechokaa, na huko kushikana mkono na nwenzie ni kama anashikiliwa asiyumbe au asidondoke aidha kwa maumivu ya ugonjwa au kudhoofu kunakosababishwa na sonono au msongo wa mawazo.
Uso haina nuru, wote wako kwenye jua pamoja na kuwa anavaa miwani ila sura ameikunja mno tofauti na wenzie walau wanatabasamu, labda ni kuwa wenzake wanashangaa vivutio wakati kwake ni marudio yaani anapajua.
Nguo aliyovaa sitaizungumzia, maadam amejisitiri. Ila viatu vya kariakoo aka vya kimachinga jamaniii looh hapana. Mie sio mtu wa fasheni sana ila kuna walakini kwenyemuonekano kimavazi.
Sisemi wazazi wetu wako vizuri zaidi yake Ila mama JPM ni public figure, si kuwa avae vitu vya gharama ila walau apendeze jamani. Mimi pia si mdau wa poda lipstic make ups kwa ujumla ila hata mavazi.... Nywele yebo kila leo, bora hata angeachia nywele zake akakata dizaini ya kimama awe anaosha na kuchana tuu kama mama JPK.
Najua aliyepiga hii picha alilenga watu waone taswira ya huyu mama, hana raha nawaza anatamani arudi kijijini kwao aishi kwa amani.
Am off, nimejikuta nawaza kwa sauti, no offense to anyone.
Kasinde.
Huu ndo upumbavu wetu. Tunalalamika rushwa huku tukiwapigia makofi wala rushwa na wezi wa rasilimali zetu. Mtu akikamatwa kwa tuhuma za rushwa au ubadhirifu tunapiga kelele anaonewa.Hatujui anayehujumu au kuibia serikali, anatutendea sisi tunaolipa hizo kodi za kuendesha serikali.Hapo ndipo tunakwama kwa kutukuza mambo ya wizi kwa kupitia kivuli cha ujanja.. Sasa kuibia wananchi na kujinufaisha kwa kupitia dhamana na vyeo ni ujanja au ni ujinga unaosababishwa na ubinafsi na kukosa uzalendo? Kwahiyo Nyerere na mkewe hawakuwa wajanja kwa mujibu wako ehh?
👍Mama yetu katisha nampa kongole
Alikulia bush
Yani mama Salma alikua anajitahdi sana,, kitu mama mkapa na huyu😀😀semA na ww...mie dah..hahaha hizi bahati hhatupat wengine walah ..tenge limemvaaa..chaa!
Yani mama Salma alikua anajitahdi sana,, kitu mama mkapa na huyu😀😀
Kama.nakuona ungejua wewe,,high heels na kigauni matata😂😂Upele shoga....humpata asiye na kucha
Si kila king'aacho ni dhahabu.Wake wa marais wako very simple na siyo wazuri wa sura na shape kihivyo..